Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

Nimeona Jaji ana LC300.

Plate namba J

Huyu anasafiri kwenda wapi huyu?

Tunaona vitu kwa ground. LC300 zimetapakaa mno. Ni kitu kinanishangaza sana. Usitumie muktadha mmoja kujaribu kuelezea kila kitu.

Hakuna rationalization ya kununua LC300 zaidi ya prestige. There is always a better way.
Sasa ukishaweka standard ya senior posts kutumia aina fulani ya magari, that becomes the canon law kwa wote.

Muhimu ni asilimia kubwa wanayatumia kwa sababu sahihi.
 
Kwahiyo tunakubaliana kwamba wananunua hizi gari sio kwasababu they need to, but because they can?
Ni hivi kwa perspective ya judges, na wao kama watu muhimu kwenye jamii. Bila ya kupewa lakuchumpa (4x4 lugha ya zamani) wakati mpaka maafisa elimu wanayo serikali inaweza ona kama ime dharau kada ya sheria.

It comes with the territory.
 
Huwa tunawapiga picha na haya magari wakiwa mjini.

Lakini kiuhalisia uwe mkuu wa mkoa Ruvuma halafu uanze ziara za Nantumbo huko sijui wilaya gani nyingine ambazo miundombinu ya barabara ovyo. Mara umeitwa Dodoma utoke Mwanza usiku wa manane

Au ziara za mawaziri mikoani sehemu zingine mapori, milima, upite kwenye mto; mjomba kama unatumia gari ‘tia maji, tia maji’ kila siku unabadili shock absorbers au unajikuta unatafuta fundi gari maporini na awepo huyo fundi mwenyewe.

Jumlisha na shughuli ya kushinda njiani siku kadhaa au week, surely unahitaji gari comfortable kidogo.

Binafsi sikubaliani na matumizi mengi ya ovyo ila kwenye magari naona logic yake, it is justified.
It's not justified.

Everything will adjust itself.
 
Ukiondoa huo ufahari wa kuwa na gari la kuendana na msafara wa Rais, ni shughuli gani za Mkuu wa mkoa zenye kuhitaji aina ya magari hayo?
Tatizo mkoa unaoujua wewe ni dar tu,unaona toka ilala mpaka temeke hata kwa bajaji unaenda,hufikirii Kuna mikoa Ina barabara korofi na 400+km wilaya mpaka wilaya ambazo mkuu wa mkoa anatakiwa kuzitembelea
 
Ni hivi kwa perspective ya judges, na wao kama watu muhimu kwenye jamii. Bila ya kupewa lakuchumpa (4x4 lugha ya zamani) wakati mpaka maafisa elimu wanayo serikali inaweza ona kama ime dharau kada ya sheria.

It comes with the territory.
Narudia, ukitoa prestige "sifa" "hadhi" "ukuu" "utukufu" "ukubwa" "urefu kwa kamba"; hakuna sababu ya mtumishi wa serikali kununua na kutumia LC300

Tunafeed ego za watumishi/viongozi kwa fedha za walipakodi/mikopo ambazo zingeweza kutumika vizuri pengine.
 
Kama hizo fedha zipo, why not?. Viongozi wetu deserve the best that money can buy!. Tena baada ya Lissu kushambuliwa, mimi nikashauri magari wote yawe ni armored.

P
Magari yote au ya Upinzani pekee?

Kheri Ya Mwaka Mpya Wakili Msomi!
 
Narudia, ukitoa prestige "sifa" "hadhi" "ukuu" "utukufu" "ukubwa" "urefu kwa kamba"; hakuna sababu ya mtumishi wa serikali kununua na kutumia LC300

Tunafeed ego za watumishi/viongozi kwa fedha za walipakodi/mikopo ambazo zingeweza kutumika vizuri pengine.
Lini mara ya mwisho wewe kusafiri kwa gari for 8 hours+ kwa week nzima. Safari ya siku moja tu ukikaa kwenye gari for 8 hours plus ukifika unataka kupumzika.

Jamaa sio tu wanaweza piga trip week nzima, bali wanakula ovyo, ulali kwenye kitanda chako ni uchovu kwenda mbele I can imagine kutaka hiyo safari walau gari liwe zuri basi kama unashinda humo.

Uzuri wa kazi unakuja na marupurupu yake na ujambazi wa kukufanya uwe tajiri ndani ya muda mfupi.

Kuna mengi ya kulaumu serikalini lakini ili la magari sio luxury ni necessary.
 
Moja ya watu waliokuwa obsessed na ujenzi wa barabara toka akiwa waziri ni hayati raisi wa awamu ya tano.

Ila mpaka na yeye anaingia madarakani kuna mikutano ilikuwa cancelled akiwa njiani sehemu zingine siku mvua ikinyesha jamaa wanaunga juu kwa juu kisa njia changamoto.

Sasa how the government works moja ya jukumu la wizara ni kuandaa sheria. Kwenye kazi hiyo ni lazima wakajionee hali halisi on the ground kama sheria inawagusa watu. Na kipindi cha bunge kabla ya kuhamia Dodoma safari to and fro za Dar-Dodoma ni frequent.

Kuna kazi administration moja wapo ni kwenda kutatua difficult situation ukiona hadi waziri kafika sehemu jua ilo tatizo ni kubwa locally na pengine la muda mrefu.

Mawaziri pia kwa kushirikiana na makatibu wakuu wana jukumu la kusimamia utaratibu wa ufanyaji kazi na kuona policy za serikali zinavyotekelezwa kujionea mara kwa mara kazi inavyotendeka sio kwa kuadithiwa (hipo hivyo duniani sio Tanzania tu).

So hizo safari zipo na hayo magari yatabaki na ulazima mpaka serikali itakapoweza miundombinu ya barabara Tanzania nzima. Sasa kama njia kuu za kuunganisha mikoa na wilaya mpaka leo awajafanikiwa. Je ukiingia ndani ya hizo wilaya.

Hayo magari ni necessary kwa hali halisi ya kazi zao na njia zenyewe.
Unazunguka sana ila ufujaji wa mali za umma ni kikwazo kwa maendeleo. Kuna matumizi mengi ya serikali makubwa kwa madogo yasiyo ya lazima, embu kwanza kiri hilo lipo ndiyo tuendelee.

Unatoka huko na gari ya milioni 600, tena labda na msafara mzito unaenda kukagua miradi ambayo thamani yake kutokana na ujenzi wake au ufujaji hailingani na gharama za uzinduzi. Hayo mbona tunaona kila siku. Ukifanya hivyo kila siku, ni pesa kiasi gani zinapotea? Bwawa la Stiegler's Gorge limezinduliwa mara ngapi? Unakumbuka mara ya mwisho walienda kufungulia maji. Unataka kusema trip hizo zina ufanisi katika serikali inayojali matumizi ya fedha zake?

Tukirudi kwenye barabara, hata hizo alizojenga Magufuli hazikujengwa kwa usahihi na zimesababisha maafa mengi. Badala ya kuangalia tulipokosea tunataka watu waendeshe masafa marefu kwa speed za kinyonga na kupoteza muda mwingi barabarani ila wao wanapaa na V8 hizo hizo, na hapo mnaweza kufungiwa msitumie barabara kwa masaa hadi wapite. Unaelewa ninachotaka kusema?
 
Hawa wakuu hilux d4d zilikuwa zinawafaa kabisa kwa mazingira ya barabara zetu
 
Unazunguka sana ila ufujaji wa mali za umma ni kikwazo kwa maendeleo. Kuna matumizi mengi ya serikali makubwa kwa madogo yasiyo ya lazima, embu kwanza kiri hilo lipo ndiyo tuendelee.

Unatoka huko na gari ya milioni 600, tena labda na msafara mzito unaenda kukagua miradi ambayo thamani yake kutokana na ujenzi wake au ufujaji hailingani na gharama za uzinduzi. Hayo mbona tunaona kila siku. Ukifanya hivyo kila siku, ni pesa kiasi gani zinapotea? Bwana wa Stiegler's Godge limezinduliwa mara ngapi? Unakumbuka mara ya mwisho walienda kufungulia maji. Unataka kusema trip hizo zina ufanisi katika serikali inayojali matumizi ya fedha zake?

Tukirudi kwenye barabara, hata hizo alizojenga Magufuli hazikujengwa kwa usahihi na zimesababisha maafa mengi. Badala ya kuangalia tulipokosea tunataka watu waendeshe masafa marefu kwa speed za kinyonga na kupoteza muda mwingi barabarani ila wao wanapaa na V8 hizo hizo, na hapo mnaweza kufungiwa msitumie barabara kwa masaa hadi wapite. Unaelewa ninachotaka kusema?
Kukagua utekelezaji wa sera ni jukumu la serikali iliyo madarakani sio mtu mwingine yeyote,

Na serikali ni raisi na baraza lake la mawaziri, so hizo safari zitakuwepo tu.
 
Mtu kazaliwa kijijini, kakulia chumba kimoja na mbuzi leo ana madaraka anataka atembelee gari ya million 600, ambayo hajaitolea jasho, ni kodi za maskini wenzake.View attachment 2476045View attachment 2476044
Hayo ndio mambo ya TANZANIA Nchi Masikini Wananchi wake Masikini lakini VIONGOZI wake Wananunua MAGARI haya kila Mwaka kwa Mabilioni ya Fedha ili Viongozi na Familia zao watembelee kwa Starehe
JamiiForums1640196477.jpg
 
Lini mara ya mwisho wewe kusafiri kwa gari for 8 hours+ kwa week nzima. Safari ya siku moja tu ukikaa kwenye gari for 8 hours plus ukifika unataka kupumzika.

Jamaa sio tu wanaweza piga trip week nzima, bali wanakula ovyo, ulali kwenye kitanda chako ni uchovu kwenda I can imagine. Ndio utaelewa mziki wa waziri ndani ya Tanzania.

Uzuri wa kazi unakuja na marupurupu yake na ujambazi wa kukufanya uwe tajiri ndani ya muda mfupi.

Kuna mengi ya kulaumu serikalini lakini ili magari sio luxury ni necessary.

Are you going to make this personal?

Do you think I do not know what it takes kusafiri na barabara nchi hii? Unahisi ni hao tu wanaosafiri na magari?

Tubaki kwenye mada, tusiweke personal credentials hapa.

Narudia, nasisitiza, hakuna ulazima wa LC300. And I know what I am talking about.
 
Basi walikuwa na project nyingi sana mie kumbukumbu zangu nyumba za vigogo nyingi zilikuwa na Defenders na ata polisi magari yao yalikuwa Defenders.
Haswa., Walioleta hayo 4*4 kwa asilimia kubwa walikuwa wageni/ na kwa taarifa zaidi(by the way) mpaka sheria za plate zikarakabishwa, Ma (TX)

Kama sikosei Wakati huo Wizara nyingi... zilikuwa na ka-project cha kudhaminiwa /misaada ma (TX) mpaka hao Polisi nao na magari yao mengi yalitoka Ngazi za juu Serikalini, yakichoka...Polisi

, vilevile kulikuwa na ugomvi mkubwa(tetesi) kuwa baada ya wale ma-xpert kuondoka basi vigogo wa juu Wizarani na kwingine ndio "Walionyakua" for Official use by the way hayo hivyo sioni ajabu kuwa ulikuwa unayaona kwa vigogo.
....tetesi hata nape naye alijaribu(Kunyakua)

Mzee Ruksa alitembelea na Defender sana tu,....as (Official motorcade) (Ngao)pamoja na Ruksa zake

...pia Viongozi wa Mashirika ya Umma walitesa sana Wanasiasa na Viongozi wengi Serikalini kwa Magari ya nguvu (SU)

kukaja mashangingi(kuwawezesha wabunge)

CCM ndio usiseme mhhh walinyakua sana....na maegesho mengi yao yalitokana na TX katika maeneo wanayokaa yalitokana na Ufahari wa gari.... na Uzalendo wa UVCCM wink

the rest is History
 
Back
Top Bottom