Afrika tunaomba Mungu wa Israel atulinde. Israel inalindwa na mitambo ya teknolojia ya hali ya juu kuzuia mashambulizi ya anga

Unafikirisha sana, imani fumbo kubwa sana!
 
Siwezi kuita watanzania Matanzania siyo tabia yangu. Nakuachia wewe uendelee kuita Mayahudi kwa kufuata mkumbo.
Nitashukuru pia kama utaacha kunipangia cha kufanya/kuandika humu jukwaani.
 
Very interesting

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi wangu hivi upo serious kweli? Mayahudi yananyooshwa na Hamas? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Uchina, urusi, Iran na North Korea ni mataifa madogo yanayoisapoti parestina? Vijana wa mudi punguzeni ujuha

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Katika kuichambua hukusema Iron dome inawachuliaje wapiganaji wa Hamas wakipaa juu na paragliders.Au ni mpaka toleo lijalo.Na pia hukusema Iron dome huwa ina uwezo kuangusha makombora mangapi yawapo angani na kwamba huenda kuna muda inazidiwa.
Wanasema sisi tuba Allah ao wana iron dom.
Sasa Allah muweza ya yote mbona haonekani sasa hivi kakimbia. Aende Gaza sasa hivi awakomboe wapalestina kwasababu kila kitu Allah akbar aende sasa awalinde na kuwasaidia.
 
Kiongozi wangu hivi upo serious kweli? Mayahudi yananyooshwa na Hamas? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ngoja waingize jeshi lao Gaza, halafu uone kitakacho tokea. Mbona hata sasa hivi hao Mayahudi wanaua tu Wapalestina wasio na hatia!! Wahuni wamewavamia ndani kwao, wakafanya walichotaka! Na kuondoka na mateka.

Cha kishangaza hao Mayahudi badala ya kupambama na Hamas, wameona bora waishambulie Gaza kwa makombora, huku wakiharibu majengo na kuua raia wasio na hatia. Hii tayari ni dalili ya kushindwa kwa Zionists (Mayahudi).
 
Mungu ni kitu gani? Halafu,Mungu huyo unaemjua mwenyewe,wa Bongo ni msenge kazi ya ulinzi hawezi? Au ni mlevi hajitambui! Sasa huyo wa Israel nae kalala fofofo watu wanachinjwa akiwepo huko akisaidizana na mitambo uisemayo, akija huku kabisa si ndo atapigwa rungu? Dunia ya leo si mchezo ujue. Yule dogo wa fundi selemara huko Yeluzaremu,si nasikia kuna watu aliwaahidi kwamba angerudi na singechelewa? Nani anajua chocho alopitia?
 
Mkuu nisaidie Kuniuliza je, na zile Fremu zilizojengwa Kishamba, Kipuuzi na Kienyeji pale Kambini Lugalo Kawe mkabala na Dawasco na Posta pamoja na ule Ukumbi wao Uliopinda kama Mbanio wa Sufuria ya Makande wa DAR SERVICE PARK zinalindwa na Teknolojia gani dhidi ya Maadui wenye Akili Kubwa kuliko Wao?
 
Ukifuatilia tafrani zilizopo duniani utagundua Kabisa uwepo wa kiumbe kinachoitwa Mungu ni utapeli tu.
 
GENTAMYCINE umenifanya nicheke kama fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…