Afrika tunaomba Mungu wa Israel atulinde. Israel inalindwa na mitambo ya teknolojia ya hali ya juu kuzuia mashambulizi ya anga

Walipo vamiwa mtambo huo ulikuwa wapi?
 
Ahsante Mungu kwa kunifanya niwe Mwisrael kweli kweli asie na hila ndani yake, japo nipo huku Mpitimbi
Nyiyi waisrael ndio mlio muua Mungu wawakirito yesu kisha mkamtu dika msalabani amfai hata kidogo
 
Hivi huyo Mungu wa Israel ndiyo huyo huyo Mungu wa Geor Davie anayelinda magari na majumba ya watoa sadaka wanaomkubali nabii mkuu?
Ndo huyo huyo lakini siyo Allah Mungu wa kipekee anayejua kiarabu tu.
 
Nyiyi waisrael ndio mlio muua Mungu wawakirito yesu kisha mkamtu dika msalabani amfai hata kidogo
Na ndio haohao walioueneza ukristo kina petro na paulo etc hupo hapo?

Allah kala kona huko palestina. Watu wanamsifu Allah akbar Allah akbar huku wamebana marinda na kulialia yeye kajificha hopeless god

Accumen Mo
 
Umesahau kwamba Mungu amewapa uwezo wa kutengeneza hizo silaha kwa ajili ya kujilinda
 
Ujinga mwingine bwana. Mungu huyo wa Israel ameshindwa kuilinda dhidi ya Hamas unataka alinde pande kubwa la ardhi kama Afrika? Umetumia mantiki gani mwanangu Bujibuji au umebubujikwa?
 
Ujinga mwingine bwana. Mungu huyo wa Israel ameshindwa kuilinda dhidi ya Hamas unataka alinde pande kubwa la ardhi kama Afrika? Umetumia mantiki gani mwanangu Bujibuji au umebubujikwa?
Umesoma lakini nilicho kiandika ndani? Au umeishia tu kwenye kichwa cha habari?
 

Myahudi anakwambia wewe mkristo ni wa kuuliwa tu kutokana na kitabu chake cha Torah


View: https://youtu.be/Xb80Zhhba7E?si=ZsYlehT9_c9dWXF-
 
Hawa Jamaa walifanya kitu mbaya kwa mtu mweusi Karne nyingi, mtu mweusi akawa hajielewi kabisa, inabidi itimike nguvu za ziada kufanya mwafrika ajielewe. Dini walileta kubomoa na kufubaza akili za mtu mweusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…