Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

MIMI HUWA NAONA TATIZO NI SISI RAIA WENYEWE. MNAAMKA ASUBUHI MNAENDA KUCHEZA BAO. MNAFANYA KAZI MASAA 6 NA 18 NI KULALA, STORY, STAREHE,MAJUNGU NK.
SWALI DOGO, HIVI RAIA 1000 WA KIJIJI X HAWAWEZI KUJENGA SHULE YA KISASA, AU ZAGANATI YA KISASA AU HATA KUCHIMBA BARABARA YAO WENYEWE?
WANASUBIRI SERIKALI IWAFANYIE ISIPOWAFANYIA WANALAUMU VIONGOZI BADAKA KUTAFUTA MBADALA.
MFANOVWANGU PENDWA
DANGOTE. MAR. MENGI. BAKHRESA NK WAMETAJIRIKA HUMU HUMU AFRIKA CHINI YA VIONGOZI MNAOWALAUMU.
Very true ...shida sio utajiri binafsi...tunaongelea Kama taifa
 
Hapana mkuu ukiangalia kiundani tupo hivyo ngozi nyeupe imetuzidi kwa Kila kitu sio elimu,chumi,teknolojia nk sisi tunawasindikiza wao na kwa bahati mbaya hata dalili ya kuirekebisha bdo hatuna
So una taka tujichubue
 
Nchi nyingi Sana za Africa zilipata uhuru kipindi hazijawa tayali kua huru, mkoloni angeendelea hadi angalau hadi mwaka 2000 maendeleo yangekua makubwa kulinganisha na hivi vituko vya sasa hivi
 
Haha ila tungeachiwa mashimo tu
 
Sawa si nishakutajia lakini...hizi factors
Majority ya hao wahindi wanazo ? Yaani tukifanya comparison ya watu wengi wa India na lets say taifa la kawaida Africa, wengi wa wapi wanazo hizo factors - chambua moja moja ya hizo factors alafu urudi hapa
 
Haha ila tungeachiwa mashimo tu
Kwani sasa hivi yamebaki nini kama sio mashimo🤔🤔 tulikua na kiherehere tuu angalia south Africa tulio wasaidia kupata uhuru uchumi wao ulivyo na wakwetu, ni bora tungeendelea kutawaliwa tuu tena hadi sasa hivi
 
Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.

Afrika jamani shida ni nini?
Acha upuuzi kabisa .Sisi tumepata Uhuru lini?
Bado tupo utumwani Ufaransa hajaondoka Afrika wa Muingereza wala Mreno wamebadili mbinu ya kutawala tu . Hawajawahi achia migodi wala Mafuta vyote wameshikilia wao na ukikaza fuvu wanakuua. Bado hatujapata Uhuru tupo utumwani kama unabisha endelea
 
MIMI HUWA NAONA TATIZO NI SISI RAIA WENYEWE. MNAAMKA ASUBUHI MNAENDA KUCHEZA BAO. MNAFANYA KAZI MASAA 6 NA 18 NI KULALA, STORY, STAREHE,MAJUNGU NK.
SWALI DOGO, HIVI RAIA 1000 WA KIJIJI X HAWAWEZI KUJENGA SHULE YA KISASA, AU ZAGANATI YA KISASA AU HATA KUCHIMBA BARABARA YAO WENYEWE?
WANASUBIRI SERIKALI IWAFANYIE ISIPOWAFANYIA WANALAUMU VIONGOZI BADAKA KUTAFUTA MBADALA.
MFANOVWANGU PENDWA
DANGOTE. MAR. MENGI. BAKHRESA NK WAMETAJIRIKA HUMU HUMU AFRIKA CHINI YA VIONGOZI MNAOWALAUMU.
Kwahiyo umasikini wetu unatokana na hizo sababu ulizotaja!?wewe hujui ulichandika!! Je!? Kila mtu huxheza BAO!?
 
narudia tena kusema hili,..yaweza kuwa kuna uhusiano mkubwa sana kati rangi ya ngozi na akili yake (race and intelligence)...maana mpaka waafrica walioko Caribbean wote kichwani ziro.... waafrica wao ni kuzaliana kama simbilisi au sungura huku MALEZI kwa watoto ni sifuri,.kulewa, ngono na wizi.......hiiii ni zaidi ya laaana!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
narudia tena kusema hili,..yaweza kuwa kuna uhusiano mkubwa sana kati rangi ya ngozi na akili yake (race and intelligence)...maana mpaka waafrica walioko Caribbean wote kichwani ziro.... waafrica wao ni kuzaliana kama simbilisi au sungura huku MALEZI kwa watoto ni sifuri,.kulewa, ngono na wizi.......hiiii ni zaidi ya laaana!
Balozi wa Romania nchini Kenya aliwa fananisha waafrika na Tumbili.

Naona yuko sahihi.

Sema kwa vile waafrika hawataki kusikia ukweli na kutanguliza mihemko na emotions badala ya Akili na Logic.

Walimwita mbaguzi.

Kumbe ndio uhalisia ulivyo.
 
mimi tangu nilipoanza kufuatilia mabo ya utawala na siasa za Africa,...nilithibitisha hili....nadhani hata tumbili wametuzidi kwa namna fulani tusiyoielewa....
 
Majority ya hao wahindi wanazo ? Yaani tukifanya comparison ya watu wengi wa India na lets say taifa la kawaida Africa, wengi wa wapi wanazo hizo factors - chambua moja moja ya hizo factors alafu urudi hapa
GDP, per Capita income, literacy rates, mortality rate,
 
Kwani sasa hivi yamebaki nini kama sio mashimo🤔🤔 tulikua na kiherehere tuu angalia south Africa tulio wasaidia kupata uhuru uchumi wao ulivyo na wakwetu, ni bora tungeendelea kutawaliwa tuu tena hadi sasa hivi
Wenzako wameteseka Sana kipindi Cha ubaguzi..mpaka wanafunzi kufa
 
Acha upuuzi kabisa .Sisi tumepata Uhuru lini?
Bado tupo utumwani Ufaransa hajaondoka Afrika wa Muingereza wala Mreno wamebadili mbinu ya kutawala tu . Hawajawahi achia migodi wala Mafuta vyote wameshikilia wao na ukikaza fuvu wanakuua. Bado hatujapata Uhuru tupo utumwani kama unabisha endelea
🤣Jamani rais si muafrica lakini
 
Back
Top Bottom