ANGALIA DEFINITION YA PHARMACIST BEFORE CONDEMNATIONMkuu siyo Waafrika wote bali Wataalamu wanaosomea masuala ya madawa (pharmacist) ndiyo tatizo sana hapa Afrika. Wao ni mzigo mkubwa sana katika jamii maana wanasoma ili waje kuuza madawa yaliyotenengenezwa na wanaume wengine huko Ulaya.
Jamani eeehhhh kutengeneza dawa sio kupika visheti. Waacheni watu walio na mitaji serious watafanya hiyo kazi, sisi tutaendelea kununua hivi hivi.Yaani pamoja na wasomi wote tulionao bara nzima bado tunasubiri huruma kwenye kila kitu hata Chanjo za Corona. Lakini kibaya nchi zote za Africa ukiacha Senegal hata jitihada za kutafuta chanjo hakuna sasa OAU na hizi EAC , SADC ni za nini kuongea tu!!.
Tungekuwa na viwanda vya madawa hata kama hatujagundua dawa wenyewe ingewezekana kabisa kupata kibali cha kutengeza kwa makubaliano badala ya kusubiri Dunia nzima ipate chanjo ndiyo sisi tupate mfano chanjo ya uwingereza na Oxford university ambayo ndiyo tulikuwa tunategemea itumike kwetu inatengenezewa India lakini wahindi wana watu zaidi ya milioni 500 wakuwapa chanjo hawataweza kuruhusu chanjo zije kwetu kabla ya kutoa kwa wahindi wenzao! cha ajabu hata dawa za za malaria ambazo ni rahisi kutengeneza za vidonge tablets au capsule hatuna viwanda vya kutengeneza hizi! badala ya kuwa na viwanda na kupata license ya utengenezaji.
Malaria mfano wamiliki wa dawa wapo Ulaya na US, watengenezaji wa dawa wapo India na watumiaji wa dawa wapo Africa lakini Africa bado ni watu wa kujikweza tu kushinda kujiita Dr na kusema wana PHD wakati hatuwezi hata kutengeneza vidonge vya magojwa yetu.
Viongozi wetu wa Africa ni kujali mipaka tu ndiyo maana tunazidiwa yaani kila siku utasikia watu wanaongelea wakenya kama maadui. Hata kama wakikubaliana kujenga kiwanda kikubwa cha kisasa Waafrika tutagombana sana kuhusu kijegwe wapi! maana tutaona ni bora India kuliko nchi nyingine ambayo sio yetu.
Corona imeonyesha tukiwa na matatizo sawa watajali watu wao tu! masikini niliona Israel wanatoa chanjo kwa wao pekee wakati wapalestina wanaoishi nao hawapati chanjo!. Africa au hata EAC na SADC ni lazima wawe na sera za mikakati kusaidia watu wao badala ya viongozi kutumia muda mrefu kujigamba!
We dont live in the past, we dont live in history.. we only learn from them.Our Fathers fought tooth and nail, scrimmaging in caves and forests, dodging bullets, kicking ass and eventually came out victorious, giving our African continent Independence. Fast forward to 2020 you guys are "surrendering/selling our liberties over a flue???? SHAME ON YOU!!!! Lovers of Bill Gates money.
Ile ilifanya kazi kweli. But itafanya kazi kwa new corona variants?NIMR kuna Juice wanatengeneza na kuiuza inatibu corona.
Usiwabeze watafiti wetu,hapo ndipo walipofikia
Tutakiwaje na viwanda wakati watu na masterz zao wanaendesha bajaj na sie tunasifia kuwa amejiongeza🤣🤣🤣🤣🤣Yaani pamoja na wasomi wote tulionao bara nzima bado tunasubiri huruma kwenye kila kitu hata Chanjo za Corona. Lakini kibaya nchi zote za Africa ukiacha Senegal hata jitihada za kutafuta chanjo hakuna sasa OAU na hizi EAC , SADC ni za nini kuongea tu!!.
Tungekuwa na viwanda vya madawa hata kama hatujagundua dawa wenyewe ingewezekana kabisa kupata kibali cha kutengeza kwa makubaliano badala ya kusubiri Dunia nzima ipate chanjo ndiyo sisi tupate mfano chanjo ya uwingereza na Oxford university ambayo ndiyo tulikuwa tunategemea itumike kwetu inatengenezewa India lakini wahindi wana watu zaidi ya milioni 500 wakuwapa chanjo hawataweza kuruhusu chanjo zije kwetu kabla ya kutoa kwa wahindi wenzao! cha ajabu hata dawa za za malaria ambazo ni rahisi kutengeneza za vidonge tablets au capsule hatuna viwanda vya kutengeneza hizi! badala ya kuwa na viwanda na kupata license ya utengenezaji.
Malaria mfano wamiliki wa dawa wapo Ulaya na US, watengenezaji wa dawa wapo India na watumiaji wa dawa wapo Africa lakini Africa bado ni watu wa kujikweza tu kushinda kujiita Dr na kusema wana PHD wakati hatuwezi hata kutengeneza vidonge vya magojwa yetu.
Viongozi wetu wa Africa ni kujali mipaka tu ndiyo maana tunazidiwa yaani kila siku utasikia watu wanaongelea wakenya kama maadui. Hata kama wakikubaliana kujenga kiwanda kikubwa cha kisasa Waafrika tutagombana sana kuhusu kijegwe wapi! maana tutaona ni bora India kuliko nchi nyingine ambayo sio yetu.
Corona imeonyesha tukiwa na matatizo sawa watajali watu wao tu! masikini niliona Israel wanatoa chanjo kwa wao pekee wakati wapalestina wanaoishi nao hawapati chanjo!. Africa au hata EAC na SADC ni lazima wawe na sera za mikakati kusaidia watu wao badala ya viongozi kutumia muda mrefu kujigamba!
Africa bara la giza
Messages ni ukweli lakini kwanini mtuma ujumbe ana fake kama yeye ni mzungu wakati tunawajua watu wa hivi. Niliona post nyingine hajui tofauti ya europe na US nikajua ni mzungu fake😂Ukweli mchunguView attachment 1686137