Afrika walimbwende wapo South Africa na Nigeria, kwamba Tanzania wamejaa sura za baba tu how come?

Ukisema kwa uzuri tu,kweli sisi ni moja kati ya nchi 20 zenye Warembo duniani ,Ila sasa hao warembo wetu shida inakuja kwenye...
1.Akili
2.Kujitolea kwenye shughuli za kijamii
3.Kudanga
Hapo tu,
We acha tukose hayo mataji.๐Ÿ˜‘
 
Broe inaonekana hii nchi huijui vizuri....! Tanzania tuna kila aina ya sampuli
Nimefika morogoro,Dodoma,dar,Arusha,shinyanga,tabora,singida,babati labda kwa mikoa mingine unasemea
 
Miss world wanaangalia Akiili ndo zinazoshindanishwa na sio sura.

Mfano mrembo aliyeshinda hiyo nafasi ya kwanza Kama miss world amejenga shule hapa Tz, na anaendesha programs za mentorship kwa jamii yake ktk self improvement , personal growth n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ