Afrika yaanza vita ya wenyewe kwa wenyewe tena

Afrika yaanza vita ya wenyewe kwa wenyewe tena

Mkuu kwamba wamekimbia huko wazungu. Wazungu au wamatumbi wote si binadamu tu?

Kwa JPM alivyokuwa anajiachia, labda kama tunataka kusahau yule mdudu alivyoondokea kuwa na mahaba niue kwa wanaume, wazee na wenye magonjwa mengine. Angeponea wapi mzee baba hapo?

Atalaumiwa sana dobi lakini kaniki ni rangi yake.
Brazaj hakika, aidha umelipwa kueneza hofu ya korona au una chuki na kipenzi chetu hayati JPM.
 
Kunawazungu nilikua nao wikii hii wamekimbia toka uganda kisaa lock down hawataki kuiisikia.

Tukiweka chuki pembeni JPM tutamkumbuka sana kwa hili la covid-19, kwa yanayoendelea nchini kuna uwezekano sana Mzee aliwahishwa viwanja. Tena inawezekana na mrithi alishiriki kumkatia kiwanja
Hili liko wazi hata tukijitia upofu
 
Kunawazungu nilikua nao wikii hii wamekimbia toka uganda kisaa lock down hawataki kuiisikia.

Tukiweka chuki pembeni JPM tutamkumbuka sana kwa hili la covid-19, kwa yanayoendelea nchini kuna uwezekano sana Mzee aliwahishwa viwanja. Tena inawezekana na mrithi alishiriki kumkatia kiwanja
wanafiki mmeanza
 
Brazaj hakika, aidha umelipwa kueneza hofu ya korona au una chuki na kipenzi chetu hayati JPM.

Pole sana mkuu kwa kunisoma ndivyo sivyo.

Tuhuma zote hizo ni kwa sababu ya kutokukubaliana na utopolo huu kwenye red?

IMG_20210626_090238_404.jpg


Kwa mtu aliyejiachia kwa raha zake kwenye Corona bila tahadhali yoyote?

Hakuwahi kumsikia Sumaye akisema sumu haionjwi kwa ulimi?

Mtamlaumu sana dobi, kaniki ni rangi yake.
 
Umesema kweli.
hata mm ,wakati mwngne huwa nawaza waza namna hii,hiv inaeezekana kweli.mrithi wa wa mzinga wa Babu,aliwezesha Babu kukatiwa kiwanja Cha makazi ya kudumu.[emoji3525].pole Babu mzinga wako uliuacha na asali kibao,Ila Sasa wajukuu uliowaacha vichwa vibovu,mzinga umeanza kuzongwa zongwa na mchwa,tunaiskia milio ya nyuki, jinsi mchwa wanavyoharibu makaz ya mzinga.ka asali kameanza kudukuliwa ,mchwa wamepewa Offa ya kuweka makaz ndani ya mzinga.
 
Pole sana mkuu kwa kunisoma ndivyo sivyo.

Tuhuma zote hizo ni kwa sababu ya kutokukubaliana na utopolo huu kwenye red?

View attachment 1830311

Kwa mtu aliyejiachia kwa raha zake kwenye Corona bila tahadhali yoyote?

Hakuwahi kumsikia Sumaye akisema sumu haionjwi kwa ulimi?

Mtamlaumu sana dobi, kaniki ni rangi yake.
Zote ni dhana. Waweza kudhibitisha kwamba unayosema ni ya uhakika/ukweli?.
 
Back
Top Bottom