Afrika yaanza vita ya wenyewe kwa wenyewe tena

Brazaj hakika, aidha umelipwa kueneza hofu ya korona au una chuki na kipenzi chetu hayati JPM.
 
Hili liko wazi hata tukijitia upofu
 
wanafiki mmeanza
 
Brazaj hakika, aidha umelipwa kueneza hofu ya korona au una chuki na kipenzi chetu hayati JPM.

Pole sana mkuu kwa kunisoma ndivyo sivyo.

Tuhuma zote hizo ni kwa sababu ya kutokukubaliana na utopolo huu kwenye red?



Kwa mtu aliyejiachia kwa raha zake kwenye Corona bila tahadhali yoyote?

Hakuwahi kumsikia Sumaye akisema sumu haionjwi kwa ulimi?

Mtamlaumu sana dobi, kaniki ni rangi yake.
 
Umesema kweli.
hata mm ,wakati mwngne huwa nawaza waza namna hii,hiv inaeezekana kweli.mrithi wa wa mzinga wa Babu,aliwezesha Babu kukatiwa kiwanja Cha makazi ya kudumu.[emoji3525].pole Babu mzinga wako uliuacha na asali kibao,Ila Sasa wajukuu uliowaacha vichwa vibovu,mzinga umeanza kuzongwa zongwa na mchwa,tunaiskia milio ya nyuki, jinsi mchwa wanavyoharibu makaz ya mzinga.ka asali kameanza kudukuliwa ,mchwa wamepewa Offa ya kuweka makaz ndani ya mzinga.
 
Zote ni dhana. Waweza kudhibitisha kwamba unayosema ni ya uhakika/ukweli?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…