shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Na kama unadhan hao black American ni waafrica jaribu kuwagusia africa ndo utaelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .Kasikilize interview ya Mayweather kuhus africaHii dhana naona ni kichaka tu...
Mtu mweusi kukuta anambagua mtu mweupe wazi wazi ni nadra sana ila hao watu wajamii zingine wanakubagua hata ukiwa kwako, kule america wanaitwa black american and its normal.
Afu kama unadhani hao ni waafrica uje uwaite waaafrica hao wahindi, mchina au waarabu
Nimesema muafrica ni aliyezaliwa Africa na awe ngozi nyeusi...Na kama unadhan hao black American ni waafrica jaribu kuwagusia africa ndo utaelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .Kasikilize interview ya Mayweather kuhus africa
[emoji23][emoji23][emoji23] hiv hiki kitu cha Africa ni ya watu weusi mmekitoa wap?Nimesema muafrica ni aliyezaliwa Africa na awe ngozi nyeusi...
Nikakumbia pia ukienda america na ni mweusi ukiongea lafudhi yako sio kama yao wanakubagua sio mwenzao.
Tatizo umejifungia ndani ya JF na kujiona mjuaji.
mkuu embu tupe abcd.wengi tunajua hivyo weusi walioko Ulaya,America n,k walichuliwa utumwani kutoka Africa.[emoji23][emoji23][emoji23] hiv hiki kitu cha Africa ni ya watu weusi mmekitoa wap?
Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Hata mimi nawashangaa hawa mbona Asia kuna races tofauti na maisha yanakwenda.[emoji23][emoji23][emoji23] hiv hiki kitu cha Africa ni ya watu weusi mmekitoa wap?
Chunguza origin yao na utakuta Afrika inatajwa, hakuna bara halina mtu mweusi, mpaka Australia weusi wapo, ila wrote sana mizizi ya Afrika.Hata mimi nawashangaa hawa mbona Asia kuna races tofauti na maisha yanakwenda.
Sawa asili yao ni Africa lakin hailifany bara la Africa kuwa bara la ngoz nyeusi tu.Kipind cha utumwa Africa ilikua na rangi zote sio nyeus pekeemkuu embu tupe abcd.wengi tunajua hivyo weusi walioko Ulaya,America n,k walichuliwa utumwani kutoka Africa.
embu tupe darsa mkuu tuongeze maarifa[emoji120]
Kaka hii nlikua natafuta namna ya kuiweka ila umenisaidia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unakimbia mimba unaenda kuoa mweny mtotoYaan unakataa kushabikia timu kwa sababu ilitaka kujiunga na ulaya mwaka 87 halaf unaenda kushabikia timu ambayo wachezaji wake wamekataa kucheza timu zao za Africa na kwenda kuchezea timu ya ulaya mwaka 2022
Tukikuita punguani tutakuwa tunakosea View attachment 2443047
🙏Sawa asili yao ni Africa lakin hailifany bara la Africa kuwa bara la ngoz nyeusi tu.Kipind cha utumwa Africa ilikua na rangi zote sio nyeus pekee
🤣🤣🤣Mna shobo kweli,
Wao hawataki kuitwa africa nyie mnawarushia trakoo moja
Mzee tuzo unayozungumzia inakuwa ya kidunia au ya kinchi! Mfano umeshinda tuzo ya kitaifa(Tanzania) halafu we ni mnyakyusa Kisha ukasema tuzo hii ni kwa ajili ya wanyakyusa wenzangu pamoja na wakristo wote Tanzania. Unafikiri hapo watu watakuonaje! Sasa ndo kilichotokea kwa yule jamaa wa Morocco alisema ni kwa ajili ya wamorocco, waarabu na waislam wote duniani. Elewa point mzee.Kwa hiyo mm nikishinda tuzo nikasema hii ni kwa ajili ya watanzania then mm siyo muafrica??
Mnafikiriaga kutumia nn hv??
Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Wamekosa watu sahihi kutoboa basi lao. ila wamefika patam moto watauona
Mturuki sio muarabu, kama Muirani naye asivyo Muarabu.Uturuki ni Waarabu wanaoiwakisha Ulaya(Wazungu)
Wachezaji gani ambao walizaliwa na kuanzia soka lao Afrika mpaka utu zima kisha wakasaliti bara la Africa!?Morocco inapigwa vita sababu ni waislam nasio kutaka kwao kujiunga Ulaya na kuteleza ulimi kwa kauli ya mchezaji wao.Tuliwabagua toka kombe linaanza tukiamin africa ni Senegal,Cameroon. Swala la wao mwaka 1987 kutak kujiunga ulaya sio tatizo sabab wapo wachezaji wakubwa kutoka mataifa ya Africa yenye ngozi nyeusi walioamua kuchezea tim za ulaya,tunawafaham.Kama ngozi nyeusi zinalisalit bara la Africa why tuwablame wamorocco [emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Na kweli atusaidie kwenye hilo maana inawezekana jamaa ana taarifa kuhusu ukweli wa hao weusi wa huko America.mkuu embu tupe abcd.wengi tunajua hivyo weusi walioko Ulaya,America n,k walichuliwa utumwani kutoka Africa.
embu tupe darsa mkuu tuongeze maarifa🙏
Usitafte excuses.Sas kama unabariki wachezaji wenye asili ya Africa kuchezea ulaya eti kisa wamezaliwa na kukulia kule hali ya kuwa wazaz wao ni wafrica by birth na makuzi,unashangaa nin mchezaji wa Morocco aliezaliwa ulaya kuisalit africa?Wachezaji gani ambao walizaliwa na kuanzia soka lao Afrika mpaka utu zima kisha wakasaliti bara la Africa!?