Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Hii dhana naona ni kichaka tu...
Mtu mweusi kukuta anambagua mtu mweupe wazi wazi ni nadra sana ila hao watu wajamii zingine wanakubagua hata ukiwa kwako, kule america wanaitwa black american and its normal.
Afu kama unadhani hao ni waafrica uje uwaite waaafrica hao wahindi, mchina au waarabu
Na kama unadhan hao black American ni waafrica jaribu kuwagusia africa ndo utaelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .Kasikilize interview ya Mayweather kuhus africa
 
Na kama unadhan hao black American ni waafrica jaribu kuwagusia africa ndo utaelewa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .Kasikilize interview ya Mayweather kuhus africa
Nimesema muafrica ni aliyezaliwa Africa na awe ngozi nyeusi...
Nikakumbia pia ukienda america na ni mweusi ukiongea lafudhi yako sio kama yao wanakubagua sio mwenzao japo wote ngozi nyeusi ila wao ni waamerica wewe ni muafrica.
 
Hata mimi nawashangaa hawa mbona Asia kuna races tofauti na maisha yanakwenda.
Chunguza origin yao na utakuta Afrika inatajwa, hakuna bara halina mtu mweusi, mpaka Australia weusi wapo, ila wrote sana mizizi ya Afrika.
 
Yaan unakataa kushabikia timu kwa sababu ilitaka kujiunga na ulaya mwaka 87 halaf unaenda kushabikia timu ambayo wachezaji wake wamekataa kucheza timu zao za Africa na kwenda kuchezea timu ya ulaya mwaka 2022

Tukikuita punguani tutakuwa tunakosea
20221114_174434.jpg
 
Yaan unakataa kushabikia timu kwa sababu ilitaka kujiunga na ulaya mwaka 87 halaf unaenda kushabikia timu ambayo wachezaji wake wamekataa kucheza timu zao za Africa na kwenda kuchezea timu ya ulaya mwaka 2022

Tukikuita punguani tutakuwa tunakosea View attachment 2443047
Kaka hii nlikua natafuta namna ya kuiweka ila umenisaidia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unakimbia mimba unaenda kuoa mweny mtoto
 
Kwa hiyo mm nikishinda tuzo nikasema hii ni kwa ajili ya watanzania then mm siyo muafrica??

Mnafikiriaga kutumia nn hv??
Mzee tuzo unayozungumzia inakuwa ya kidunia au ya kinchi! Mfano umeshinda tuzo ya kitaifa(Tanzania) halafu we ni mnyakyusa Kisha ukasema tuzo hii ni kwa ajili ya wanyakyusa wenzangu pamoja na wakristo wote Tanzania. Unafikiri hapo watu watakuonaje! Sasa ndo kilichotokea kwa yule jamaa wa Morocco alisema ni kwa ajili ya wamorocco, waarabu na waislam wote duniani. Elewa point mzee.
 
Morocco inapigwa vita sababu ni waislam nasio kutaka kwao kujiunga Ulaya na kuteleza ulimi kwa kauli ya mchezaji wao.Tuliwabagua toka kombe linaanza tukiamin africa ni Senegal,Cameroon. Swala la wao mwaka 1987 kutak kujiunga ulaya sio tatizo sabab wapo wachezaji wakubwa kutoka mataifa ya Africa yenye ngozi nyeusi walioamua kuchezea tim za ulaya,tunawafaham.Kama ngozi nyeusi zinalisalit bara la Africa why tuwablame wamorocco [emoji2357][emoji2357][emoji2357]
Wachezaji gani ambao walizaliwa na kuanzia soka lao Afrika mpaka utu zima kisha wakasaliti bara la Africa!?
 
Wachezaji gani ambao walizaliwa na kuanzia soka lao Afrika mpaka utu zima kisha wakasaliti bara la Africa!?
Usitafte excuses.Sas kama unabariki wachezaji wenye asili ya Africa kuchezea ulaya eti kisa wamezaliwa na kukulia kule hali ya kuwa wazaz wao ni wafrica by birth na makuzi,unashangaa nin mchezaji wa Morocco aliezaliwa ulaya kuisalit africa?
 
Back
Top Bottom