Walikataa kuchezea timu zao!? Wamezaliwa huko, wamekulia huko na soka wamelijulia huko, kuna shida wakicheza huko kama wamekubalika kwa jamii zilizowapokea!?Yaan unakataa kushabikia timu kwa sababu ilitaka kujiunga na ulaya mwaka 87 halaf unaenda kushabikia timu ambayo wachezaji wake wamekataa kucheza timu zao za Africa na kwenda kuchezea timu ya ulaya mwaka 2022
Tukikuita punguani tutakuwa tunakosea View attachment 2443047
Leo Mwakinyo akimpiga Mmexico kisha akau_dedicate ushindi wake kwa wana Tanga wenzake, wadigo wenzake na waislamu wenzake itakuwa sawa!?Usitafte excuses.Sas kama unabariki wachezaji wenye asili ya Africa kuchezea ulaya eti kisa wamezaliwa na kukulia kule hali ya kuwa wazaz wao ni wafrica by birth na makuzi,unashangaa nin mchezaji wa Morocco aliezaliwa ulaya kuisalit africa?
Sas kama wao ni sawa kuchezea huko kisa wamekubaliwa kuchezea huko though nchi zao za asili zinawahitaj,unashangaa nin Morocco kujitenga na wale waliochagua Senegal na Cameroon kama ndo wawakili halisi wa Africa hali ya kuwa Morocco ni sehem ya Africa?Walikataa kuchezea timu zao!? Wamezaliwa huko, wamekulia huko na soka wamelijulia huko, kuna shida wakicheza huko kama wamekubalika kwa jamii zilizowapokea!?
Yeah itakua sawa kama akifanyiwa walichofanyiwa wamorocco na ngoz nyeus.Leo Mwakinyo akimpiga Mmexico kisha akau_dedicate ushindi wake kwa wana Tanga wenzake, wadigo wenzake na waislamu wenzake itakuwa sawa!?
Yaani hapo ni vita ya Christian vs islam wamejificha kwenye kivuli cha kauli ya mchezaji wa MORROCO yaani mtu yuko buza anakwambia sii support Morocco mpaka unajiuliza ana impact maana hata ashabikie au asishabikie habadilishi kitu chochote walitakiwa waseme hivyo waliopo Qatar huko waafrika sisi ni vichwa panzi bendera fuata upepo.Morocco inapigwa vita sababu ni waislam nasio kutaka kwao kujiunga Ulaya na kuteleza ulimi kwa kauli ya mchezaji wao.Tuliwabagua toka kombe linaanza tukiamin africa ni Senegal,Cameroon. Swala la wao mwaka 1987 kutak kujiunga ulaya sio tatizo sabab wapo wachezaji wakubwa kutoka mataifa ya Africa yenye ngozi nyeusi walioamua kuchezea tim za ulaya,tunawafaham.Kama ngozi nyeusi zinalisalit bara la Africa why tuwablame wamorocco [emoji2357][emoji2357][emoji2357]
If you don't mind, let me ignore you!Acha kumshambulia kinafiki.
Chuki hazina gender lakini ni Wanaume ndio huwa tunafanya mambo mengi ya ovyo ovyo...Dah Chige chuki zina gender ?
C wanajijua ni waafrica??kwa nn wasije kucheza kwenye timu zao za Africa kama wanaipenda kweli AfricaWalikataa kuchezea timu zao!? Wamezaliwa huko, wamekulia huko na soka wamelijulia huko, kuna shida wakicheza huko kama wamekubalika kwa jamii zilizowapokea!?
Kwa hiyo kutocheza Africa ndiyo kutoipenda Africa!? Vipi wanaoondoka Africa kuzamia huko Ulaya na Marekani, wanakuwa hawaipendi Africa!?C wanajijua ni waafrica??kwa nn wasije kucheza kwenye timu zao za Africa kama wanaipenda kweli Africa
Wamorocco wamefanyiwa kitu gani na ngozi unayoiita nyeusi!?Yeah itakua sawa kama akifanyiwa walichofanyiwa wamorocco na ngoz nyeus.
Eti nayoiita nyeusi [emoji23][emoji23][emoji23] aya ban.Tuliwatenga Morocco tukiamin Senegal na Cameroon ndo waafrica halisiWamorocco wamefanyiwa kitu gani na ngozi unayoiita nyeusi!?
Brother sijui hata Kama unaelewa mjadala ulikuwa nnKwa hiyo kutocheza Africa ndiyo kutoipenda Africa!? Vipi wanaoondoka Africa kuzamia huko Ulaya na Marekani, wanakuwa hawaipendi Africa!?
Nimeuliza kulingana na wewe ulivyouliza! Kama huna jibu ni Sawa.Brother sijui hata Kama unaelewa mjadala ulikuwa nn
Mjadala Ulikuwa kuwa waafrica wameisusia morocco hoja Yao ikiwa Wamorocco wamegomea kuwa waafrica na walitaka kuwa ulaya na kikajitokeza kikundi kikasema kuwa ni bora kuwa wafaransa maana kuna waafrica wengi
Hapo ndo swali langu likaja kwa nn tuwasusie watu walitaka kujiunga ulaya mwaka 87 halaf unaenda kushabikia timu ambayo wachezaji wake wamekataa kucheza timu zao za Africa na kwenda kuchezea timu ya ulaya mwaka 2022??
Tuliwatenga!? Sijui kuhusu hilo. Statement iko general sana. AfCoN ya Cameroon, binafsi nilikuwa naishabikia Egypt. Tangu anawatoa Wacameroon, akawatoa WaMorocco na Akawatoa Ivory Coast mpaka fainali akafungwa na Senegal. Hiyo ndiyo ilikuwa timu yangu. Huo ni mtazamo wako.Eti nayoiita nyeusi [emoji23][emoji23][emoji23] aya ban.Tuliwatenga Morocco tukiamin Senegal na Cameroon ndo waafrica halisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aya sawaTuliwatenga!? Sijui kuhusu hilo. Statement iko general sana. AfCoN ya Cameroon, binafsi nilikuwa naishabikia Egypt. Tangu anawatoa Wacameroon, akawatoa WaMorocco na Akawatoa Ivory Coast mpaka fainali akafungwa na Senegal. Hiyo ndiyo ilikuwa timu yangu. Huo ni mtazamo wako.