Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Usimtambue asiyekutambua, haikusaidii kitu kujipendekeza.lakini ilifuzu kwenda kwenye michuano ya kombe la dunia kupitia michuano ya Afrika sio michuano ya ulaya.
ndio maana tunawaita kuwa ni wawakilishi wa afrika.
Timu ya ufaransa ina watu weusi wengi zaidi kuliko morocoUfaransa na Morocco
Ni bora niwe upande wa Ufaransa kuliko Morocco.
Sikutegemea kukutana na comment ya kipumbavu kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kama hii.Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Aliomba radhi kwa hiyo kauliLakini si waliweka wazi ushindi wao ni kwa ajili ya Arabs na Waislamu wote Duniani.
Facts to back up your point??Hao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Hakuna anayejali ulikoUfaransa na Morocco
Ni bora niwe upande wa Ufaransa kuliko Morocco.
Kwa hiyo mm nikishinda tuzo nikasema hii ni kwa ajili ya watanzania then mm siyo muafrica??Lakini si waliweka wazi ushindi wao ni kwa ajili ya Arabs na Waislamu wote Duniani.
Watu wanajishikiza kwa nguvu hata kama hawatakiwi na wameshatamkiwa wazi lakini wamo tu.Usimtambue asiyekutambua, haikusaidii kitu kujipendekeza.
Tuwaite waafrika tuu mambo ya dini ni mambo binafsi hayahusiani na mpira.
Kimtokacho mtu kinywani kwake ndicho kilichoujaza moyon wake.Msamaha kaomba baada ya reaction ya watu,atakuwa alishinikizwa tuAliomba radhi kwa hiyo kauli
kuna wakati eti Morocco waliomba kujiunga na jumuiya ya Ulaya[emoji849]Huyo mchezaji amekuja kusakafia tu, lakini so many times Morocco hata viongozi wao na wananchi wa kawaida hawapendi kuitwa wa Africa, huyo mchezaji hakusema huu ushindi uende kwa wa Africa... Alisema Arabs na Muslims
walifuzu kwenda kwenye michuano ya kombe la dunia kupitia michuano ya Afrika sio michuano ya ulaya.Nani kakwambia kuwa hao ni waafrika ?
Njoo na fact tukuelewe cyo uje na maneno ya kijiweni halaf utegemee tupokee point Yako tuWatu wanajishikiza kwa nguvu hata kama hawatakiwi na wameshatamkiwa wazi lakini wamo tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Walishakana uafrika hao wamesema wanawakilisha uichilami
Swali la msingi hili. What does it mean to be an African?Iv mtu ukisema waafrica unamaanisha mtu mweusi kwan