Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Niko pamoja na ufaransa
 
Nimekua nikiona mada za aina hii, naona wote wanaobisha Morocco hawapo Africa, namuona pimbi.

Swali la msingi? Kwani Uafrika ni nini? Rangi, kama ndio na wale weusi waliopo France, Belgium, Papua Guinea, South American Countries je wote ni waafrika?

Au weupe waliopo humi Afrika, je wote ni waafrika?

Ili iwe Muafrika, inabidi nchi yako iwe ndani ya bara hili regardless ya Rangi, Kimo, nywele au unene?

Afrika, tutambue uafrika sio rangi.
 
Njoo na Facts usije na mihemko yako kuhusu Hilo swala
Facts zipi tena ngoja nikupe mfano France zaidi ya nusu ya wachezaji ni Africans morocco wote waarabu acha hilo wanawakilisha arabs league na Muslims kingine walikuwa wanaomba eu wawaruhusu kucheza ligi za ulaya na sio za Africa.
 
Facts zipi tena ngoja nikupe mfano France zaidi ya nusu ya wachezaji ni Africans morocco wote waarabu acha hilo wanawakilisha arabs league na Muslims kingine walikuwa wanaomba eu wawaruhusu kucheza ligi za ulaya na sio za Africa.
Unaposema nusu ya wachezaji wa ufaransa ni Africa unamaanisha nini?? uafrica ni weusi??

Wamorocco wote ni waarabu ndiyo...Kwa hiyo waarabu wa hapo Zanzibar cyo waafrica??

Yaan unachokifanya ukienda ulaya ukafanyiwa hivyo utalalamika umebaguliwa.....yaan kina koulibally wanalalamika kwamba wazungu Wanawabagua kila siku wanapiga goti pale EPL ww uko hapa unashabikia ubaguzi kwa waarabu na unajiona uko sawa??


Au nikuulize swali jepesi tu uafrica ni nini??yaan nini kinamfanya mtu awe mwafrica?
 
Hao wenzako huo uafrika wakushea eneo hawautambui wanatambua ngozi zao na ndio maana walisema arabs n muslims kuua so. Uafrika ni rangi ndio, waarabu wazanzibar watangazie ndoa ndio utagundua kama ni waafrica au sio.
 
Njoo na fact tukuelewe cyo uje na maneno ya kijiweni halaf utegemee tupokee point Yako tu


Kwa nn morocco cyo mwafrica??JIBU swali hilo kwa hoja siyo porojo za Facebook
Tangu umeijua JF ukawaona wa Facebook hawafai.Sikujibu sasa maana uandishi wako wenyewe tu hao wa Facebook wana afadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…