Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Kwa mara ya kwanza tangu kombe la dunia lianze, Afrika kupitia timu ya Morocco yaingia nusu fainali.

Pongezi kwa wawakilishi wetu morocco kwa kuweka historia.
For the Arabs and Islam world wenyewe wameshasema

Wafaransa wawapige nje tu hawa wabaguzi wa kiarabu
 
Huyo mchezaji amekuja kusakafia tu, lakini so many times Morocco hata viongozi wao na wananchi wa kawaida hawapendi kuitwa wa Africa, huyo mchezaji hakusema huu ushindi uende kwa wa Africa... Alisema Arabs na Muslims
Na kweli ndio uhalisia wao sio Waafrica ni waarabu,hata hizo Nchi za Morocco, Tunisia,Algeria kuwepo bara LA Africa ni mbinu za wazungu ili Africa isiwe na umoja
 
Akuna anaelazimisha jambo ila ukweli utabaki kuwa ukweli Morocco ni Waafrika wenye asili ya kiarabu
Boss unalazimisha sababu kuna watu wanangalia matamanio halisi ya wamoroco na sio eneo walilopo.

Moroco ni waafrika wenye asili ya kiarabu na tamaa ya kutokuwa sehemu ya Afrika. Ni sawa na mzazi asiyetaka kuwa mzazi, anabaki kuwa mzazi kibiolojia ila anaacha alama ya utambulisho kihistoria ya nia yake halisi.

Mwaka 1987, kama sio kukataliwa kwa sababu za kijiografia leo wangekua sehemu ya umoja wa Ulaya. Sasa kama baadhi ya mashabiki wanaona hii ni sababu tosha ya kutowachukulia kama waafrika katika soka na ww hutaki hapo ni unalazimisha.

"In 1987, Morocco applied to join the European Communities (the precursor to the European Union). The application was rejected on the grounds that Morocco was not considered to be a "European country" and hence could not join."
 
hao ni waafrika walio fuzu kupitia michuano ya Afrika ndipo wakaenda kombe la dunia.

wasinge pitia mchujo wa mashindano ya timu za Afrika wasinge fika hapo walipo.
ni waafrika wenzetu hilo ndio la msingi.
Hapo ndio point ya msingi,walipitia mashindano ya kupata mwakilishi kupitia Afrika na siyo vingine.

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Ucha upotoshaji Uafrika ni rangi,Mipaka ya mabara na Nchi ilitokana na kushabihana kwa jamii husika.Ndio maana MTU yoyote mweusi ana be regarded as Mwafrika by nature hata ukizaliwa France au Russia.
 
Sasa sisi kama Bara tutaongezewa timu na FIFA.
 
Hawa hawa wanaoituhum Morocco kuomba kujiunga ulaya ndo hawa hawa wanaotaman bora wakae homeless ulaya [emoji23][emoji23][emoji23].SAS kama ngoz nyeus kila siku zinakimbilia ulaya sembuse wa Morocco
 
Hawa hawa wanaoituhum Morocco kuomba kujiunga ulaya ndo hawa hawa wanaotaman bora wakae homeless ulaya [emoji23][emoji23][emoji23].SAS kama ngoz nyeus kila siku zinakimbilia ulaya sembuse wa Morocco
Tupo kwenye ulimwengu wa Soka. Hakuna mtu anayelalamika morocco kutaka kuwa ulaya sababu ni maslahi yao ila katika soka ni suala la ushabiki katika kuchagua wapi ushabikie na kufurahi nao wanaposhinda na kinyume chake.

Halafu hii hoja haijaibuliwa na mashabiki kutoka Afrika, imeibuliwa na moroco wenyewe. Wao wamewakumbusha mashabiki kutoka Afrika kuwa hawatamani kuwa sehemu yao na ingewapendeza iwapo wasingekuwa kama wao sema MUNGU kalazimisha.
 
Nimekua shabiki wa Morocco kila wanapohusika kwenye kombe la dunia, ila bango lao hili lilinitoa stimu kabisa, natamani washindwe kabisa tena kipigo cha mbwa yaani wafungwe mabao mpaka mpira usitishwe kuzuia kipigo zaidi....
Hata wakibahatika kushinda kombe, waende wakalipokeze kwa waislamu na waarabu wao huko.....


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…