Huyu mmoja amekumbushia tu ila wanapenda kuwa Ulaya zaidi.Alikana mmoja sio wote
Kabisa mkuu!Tunabaguliwa kwa sabab ya uduni wa maisha.Na huu uduni wa maisha tunausababisha wenyew sababu hatuna akili
Uturuki sio waarabu na wala sio nchi ya kiarabuUturuki ni Waarabu wanaoiwakisha Ulaya(Wazungu)
Nchi nying za ulaya zimejaa wachezaji weus utaskia huyu kazaliwa ghana ,yule malawi,hawa congo.Sas kama watu weus (asili ya bara kama wasemavyo) wanalikimbia bara why tuwashangae watu walioko pembezoni mwa bara kutak kujiunga na mabara mengineTupo kwenye ulimwengu wa Soka. Hakuna mtu anayelalamika morocco kutaka kuwa ulaya sababu ni maslahi yao ila katika soka ni suala la ushabiki katika kuchagua wapi ushabikie na kufurahi nao wanaposhinda na kinyume chake.
Halafu hii hoja haijaibuliwa na mashabiki kutoka Afrika, imeibuliwa na moroco wenyewe. Wao wamewakumbusha mashabiki kutoka Afrika kuwa hawatamani kuwa sehemu yao na ingewapendeza iwapo wasingekuwa kama wao sema MUNGU kalazimisha.
Hakuna anayeshangaa, kwani kabla ya kombe la dunia na wao kushinda na yale matamshi kutamkwa hii ilikuwa ni topic?Nchi nying za ulaya zimejaa wachezaji weus utaskia huyu kazaliwa ghana ,yule malawi,hawa congo.Sas kama watu weus (asili ya bara kama wasemavyo) wanalikimbia bara why tuwashangae watu walioko pembezoni mwa bara kutak kujiunga na mabara mengine
inaonekana we jamaa mwehu kupitia kiasiLeta ushahid wapi aliutaja Uislam
Mbona hii nchi raia wake ni wehu kias hiki [emoji15]
Nchi nying za ulaya zimejaa wachezaji weus utaskia huyu kazaliwa ghana ,yule malawi,hawa congo.Sas kama watu weus (asili ya bara kama wasemavyo) wanalikimbia bara why tuwashangae watu walioko pembezoni mwa bara kutak kujiunga na mabara mengine
walikua sahihi kabisa,unawezaje kuwa kwenye omoja na watu wajinga,wafitini,wala rushwa,mafisadi na wavivu wa kufanya kazi?.kuna wakati eti Morocco waliomba kujiunga na jumuiya ya Ulaya[emoji849]
Hata wangepitia UEFA wangefuzu tuhao ni waafrika walio fuzu kupitia michuano ya Afrika ndipo wakaenda kombe la dunia.
wasinge pitia mchujo wa mashindano ya timu za Afrika wasinge fika hapo walipo.
ni waafrika wenzetu hilo ndio la msingi.
Ni vizuri pia kama waislamu tumeingia nusu fainalHao siyo waafrica ni waislamu na waarabu hatuwapendi
Na ni wachawi pia.Waislamu ndo dini ya haki na mafanikio
Hio muslim imeongezwa.Kasikilize interview yake.Acha kuchukua taarifa kweny source za vichochoroninaonekana we jamaa mwehu kupitia kiasiView attachment 2442698
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na makamba anasema hatuna shukraniwalikua sahihi kabisa,unawezaje kuwa kwenye omoja na watu wajinga,wafitini,wala rushwa,mafisadi na wavivu wa kufanya kazi?.
Trump aliwai kusema nini kuhusu nchi za Africa?
akuna race nyeupe isiyowabagua weusi hapa Duniani haipo wote wanabagua weusi mpaka makocha wa timu kubwa wanabagua weusi lakini bado waafrica wanapenda izo timu na wanazishabikia.
mwaka 2014 kama sijakosea kwenye michuano ya kufuzu kwenda WC Tanzania-3 Vs 1-Moroco hapo kwa Mkapa Moroco walipigwa.leo hii Moroco 2022 wanafika nusu WC na klabu za Moroco ndo mabingwa watetezi wa kombe la CAF na CAF shirikisho 2021/2022.nchi zetu za matopeni bado tunatafuta maji ya kunywa na umeme.Dππ:
Hii dhana naona ni kichaka tu...Waasis wa kuwaita (wahind ,waarab,makaburu) walozaliwa Africa kuwa ni (wahind ,Waarab ,makaburu) ni nan?
Hii continent ingekuwa inajiweza dunia ingepata tabu sana inawatu wapuuzi sana. Wee imagine mtu kasema ushindi wa Morocco ni ushindi wa Arabs na Morocco lakin kuna mtu anautaja uislam [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hauwezi kuisikia uingereza ikisema ufaransa ikishinda sisi tumeshinda kwa sababu reli imetuunganisha.Hii hoja ni ya kipuuzi. Kama ni hivyo basi na Spain ipo Africa zaidi kuliko Ulaya kwa kuwa ukiwa upande wa Hispania Africa unaiona na unaweza kuogelea kwenye bahari ya Mediterranean. Kwa hiyo Hispania ni Africa.
Tatizo umejifungia ndani ya JF na kujiona mjuaji.Kwa kuogelea tu [emoji846][emoji846].
ndivyo mwalimu wako wa geography alivyokufundisha