Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Afrika yaingia Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022

Morocco inapigwa vita sababu ni waislam nasio kutaka kwao kujiunga Ulaya na kuteleza ulimi kwa kauli ya mchezaji wao.Tuliwabagua toka kombe linaanza tukiamin africa ni Senegal,Cameroon. Swala la wao mwaka 1987 kutak kujiunga ulaya sio tatizo sabab wapo wachezaji wakubwa kutoka mataifa ya Africa yenye ngozi nyeusi walioamua kuchezea tim za ulaya,tunawafaham.Kama ngozi nyeusi zinalisalit bara la Africa why tuwablame wamorocco [emoji2357][emoji2357][emoji2357]
 
Tupo kwenye ulimwengu wa Soka. Hakuna mtu anayelalamika morocco kutaka kuwa ulaya sababu ni maslahi yao ila katika soka ni suala la ushabiki katika kuchagua wapi ushabikie na kufurahi nao wanaposhinda na kinyume chake.

Halafu hii hoja haijaibuliwa na mashabiki kutoka Afrika, imeibuliwa na moroco wenyewe. Wao wamewakumbusha mashabiki kutoka Afrika kuwa hawatamani kuwa sehemu yao na ingewapendeza iwapo wasingekuwa kama wao sema MUNGU kalazimisha.
Nchi nying za ulaya zimejaa wachezaji weus utaskia huyu kazaliwa ghana ,yule malawi,hawa congo.Sas kama watu weus (asili ya bara kama wasemavyo) wanalikimbia bara why tuwashangae watu walioko pembezoni mwa bara kutak kujiunga na mabara mengine
 
Black Europeans vz Arab Africans.
Ashinde yeyote tu, kama hatutakua na mahusiano ya kigenetic basi tuna mahusiano ya kijografia.[emoji23]
 
Nchi nying za ulaya zimejaa wachezaji weus utaskia huyu kazaliwa ghana ,yule malawi,hawa congo.Sas kama watu weus (asili ya bara kama wasemavyo) wanalikimbia bara why tuwashangae watu walioko pembezoni mwa bara kutak kujiunga na mabara mengine
Hakuna anayeshangaa, kwani kabla ya kombe la dunia na wao kushinda na yale matamshi kutamkwa hii ilikuwa ni topic?

Tupo kwenye ulimwengu wa soka, mashabiki wanafanya chaguzi, walipochagua wakakataliwa kwa kukumbushwa kuwa sababu inayowafanya kuchagua ni batili. Wamebadili chaguzi, Hakuna ubaya katika hilo unless ni kulazimisha kuwa lazima wawachague.
 
Leta ushahid wapi aliutaja Uislam

Mbona hii nchi raia wake ni wehu kias hiki [emoji15]
inaonekana we jamaa mwehu kupitia kiasi
Screenshot_20221211-104904.jpg
 
Nchi nying za ulaya zimejaa wachezaji weus utaskia huyu kazaliwa ghana ,yule malawi,hawa congo.Sas kama watu weus (asili ya bara kama wasemavyo) wanalikimbia bara why tuwashangae watu walioko pembezoni mwa bara kutak kujiunga na mabara mengine

kuna wakati eti Morocco waliomba kujiunga na jumuiya ya Ulaya[emoji849]
walikua sahihi kabisa,unawezaje kuwa kwenye omoja na watu wajinga,wafitini,wala rushwa,mafisadi na wavivu wa kufanya kazi?.
Trump aliwai kusema nini kuhusu nchi za Africa?

akuna race nyeupe isiyowabagua weusi hapa Duniani haipo wote wanabagua weusi mpaka makocha wa timu kubwa wanabagua weusi lakini bado waafrica wanapenda izo timu na wanazishabikia.

mwaka 2014 kama sijakosea kwenye michuano ya kufuzu kwenda WC Tanzania-3 Vs 1-Moroco hapo kwa Mkapa Moroco walipigwa.leo hii Moroco 2022 wanafika nusu WC na klabu za Moroco ndo mabingwa watetezi wa kombe la CAF na CAF shirikisho 2021/2022.nchi zetu za matopeni bado tunatafuta maji ya kunywa na umeme.D😀😀:
 
hao ni waafrika walio fuzu kupitia michuano ya Afrika ndipo wakaenda kombe la dunia.

wasinge pitia mchujo wa mashindano ya timu za Afrika wasinge fika hapo walipo.
ni waafrika wenzetu hilo ndio la msingi.
Hata wangepitia UEFA wangefuzu tu
 
walikua sahihi kabisa,unawezaje kuwa kwenye omoja na watu wajinga,wafitini,wala rushwa,mafisadi na wavivu wa kufanya kazi?.
Trump aliwai kusema nini kuhusu nchi za Africa?

akuna race nyeupe isiyowabagua weusi hapa Duniani haipo wote wanabagua weusi mpaka makocha wa timu kubwa wanabagua weusi lakini bado waafrica wanapenda izo timu na wanazishabikia.

mwaka 2014 kama sijakosea kwenye michuano ya kufuzu kwenda WC Tanzania-3 Vs 1-Moroco hapo kwa Mkapa Moroco walipigwa.leo hii Moroco 2022 wanafika nusu WC na klabu za Moroco ndo mabingwa watetezi wa kombe la CAF na CAF shirikisho 2021/2022.nchi zetu za matopeni bado tunatafuta maji ya kunywa na umeme.D😀😀:
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na makamba anasema hatuna shukrani
 
Waasis wa kuwaita (wahind ,waarab,makaburu) walozaliwa Africa kuwa ni (wahind ,Waarab ,makaburu) ni nan?

Hii continent ingekuwa inajiweza dunia ingepata tabu sana inawatu wapuuzi sana. Wee imagine mtu kasema ushindi wa Morocco ni ushindi wa Arabs na Morocco lakin kuna mtu anautaja uislam [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii dhana naona ni kichaka tu...
Mtu mweusi kukuta anambagua mtu mweupe wazi wazi ni nadra sana ila hao watu wajamii zingine wanakubagua hata ukiwa kwako, kule america wanaitwa black american and its normal.
Afu kama unadhani hao ni waafrica uje uwaite waaafrica hao wahindi, mchina au waarabu
 
Hii hoja ni ya kipuuzi. Kama ni hivyo basi na Spain ipo Africa zaidi kuliko Ulaya kwa kuwa ukiwa upande wa Hispania Africa unaiona na unaweza kuogelea kwenye bahari ya Mediterranean. Kwa hiyo Hispania ni Africa.
Hauwezi kuisikia uingereza ikisema ufaransa ikishinda sisi tumeshinda kwa sababu reli imetuunganisha.
 
Back
Top Bottom