Afrika yapongezwa kwa kukataa kua tegemezi wa Marekani na Ulaya

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
Nchi za Africa zimefanya chaguo sahihi la kutafuta mshirika wa kiuchumi anayejali na kuheshimu mamlaka za Nchi hizo na kuepukana Ushirika wa Marekani na Ulaya ambao mara nyingi umekua haziheshimu mamlaka za Nchi husika na wamekua wakiingilia siasa na hata kujaribu kushinikiza ajenda zao zisiendana na mila za kiafrika.

China amekua mshirika namba moja Afrika nzima hii imepelekea Rais Donald Trump kuwekea tarrif Nchi zote Afrika zinazopeleka bidhaa USA kasoro Bukrina Fasso tu.

Today, Africa is laughing at the rest of the world.

African countries were smart enough reduce trade ties with a highly unpredictable superpower, and strengthen trade ties with a much more reliable superpower.

Other regions should learn from Africa.

IMG_20250406_214930.jpg
 
View attachment 3295207

Unaweza kuwekea statistics basi? Au hata katika hii statement yako....

African countries were smart enough reduce trade ties with a highly unpredictable superpower, and strengthen trade ties with a much more reliable superpower.

Wakati unaandika hivi, South Africa inatuma ujumbe kujadilian na US kuhusu kupunguziwa tariffs....Hebu tuletee data basi....! Uone Uchumi wa Africa ulivyotegemezi.....Hata China haitwasaidia kitu!
 
China haingilii siasa za ndani ila anaingilia uchumi wenu na kuwaacha watupu. Na China hata mkitaka kuuana haongei lolote zaidi ya kuwauzia mapanga na silaha zingine mmalizane. Hakuna nafuu yoyote iwe kwa mzungu au mchina.
Mchina ana nafuu sana amesaidia Nchi nyingi kujenga miundo mbinu bila masharti yoyote
 
Hakuna binadamu ngozi nyeupe aliye hata na wazo tu la kumsaidia mtu mweusi. Wote kabisa iwe mzungu, muarabu, mchina, mahindi wanamuona mweusi kama nyani halisi. Mtu mweusi wana mpango wa kumfuta duniani.
 
Mchina ana nafuu sana amesaidia Nchi nyingi kujenga miundo mbinu bila masharti yoyote
Endelea kujidanganya. China hafanyi kitu cha hasara mkuu. Tena alivyo mhuni anakutengenezea barabara unampa mgodi wa madini. Unafuu wa mchina ni kukupa hela bila kukupa masharti ya kuzitumia. Ukitaka kuzitafuna sawa ukitaka kufanya maendeleo sawa. Mzungu anakupa mkopo na masharti ya kihuni juu yake. Viongozi wa Afrika wanapenda China kwa sababu wako huru kuzitafuna hela bila kuulizwa wala kutishwa.
 
hii siyo kauli ya wananchi wanaotawaliwa bali ya viongozi wa kiafrica wanaosutwa kila kukicha kwa kuwa na katiba zisizowashitaki.
 
Kwa ufupi China anawafanya Waafrika wawe masikini zaidi.
Maana wanatuuzia vitu visivyo bora
china hakemei dikteta , china hakemei katiba zisizoshitaki maraisi wa africa,china yeyey kila kukicha ni kuwamwaga masikini wake waje wachukue ardhi ya africa. wewe ngoja mwaka 2098 utaona kuna angolachinese, nigerian chinese, botswana chinese na congolese chinese mwishowe waafrica tutatoweka kwa covid!
 
china hakemei dikteta , china hakemei katiba zisizoshitaki maraisi wa africa,china yeyey kila kukicha ni kuwamwaga masikini wake waje wachukue ardhi ya africa. wewe ngoja mwaka 2098 utaona kuna angolachinese, nigerian chinese, botswana chinese na congolese chinese mwishowe waafrica tutatoweka kwa covid!
 
Nchi za Africa zimefanya chaguo sahihi la kutafuta mshirika wa kiuchumi anayejali na kuheshimu mamlaka za Nchi hizo na kuepukana Ushirika wa Marekani na Ulaya ambao mara nyingi umekua haziheshimu mamlaka za Nchi husika na wamekua wakiingilia siasa na hata kujaribu kushinikiza ajenda zao zisiendana na mila za kiafrika.

China amekua mshirika namba moja Afrika nzima hii imepelekea Rais Donald Trump kuwekea tarrif Nchi zote Afrika zinazopeleka bidhaa USA kasoro Bukrina Fasso tu.

Today, Africa is laughing at the rest of the world.

African countries were smart enough reduce trade ties with a highly unpredictable superpower, and strengthen trade ties with a much more reliable superpower.

Other regions should learn from Africa.

View attachment 3295207
China sio mshirika ila ni mwizi rafiki.Mshirika ambaye bidhaa zake kwetu zinakuja zitakavyo lakini yeye kinachoenda kwa kiurahisi ni madini na mali ghafi nyingine hataki manufactured goods.Kampuni zake zinapata tenda nyingi sana Africa kutokana masharti magumu ya bima lakini hawekezi Africa.Kifupi Africa haina rafiki na haina adui ila ni sehemu ya kuchuma na kuondoka
 
Nchi za Africa zimefanya chaguo sahihi la kutafuta mshirika wa kiuchumi anayejali na kuheshimu mamlaka za Nchi hizo na kuepukana Ushirika wa Marekani na Ulaya ambao mara nyingi umekua haziheshimu mamlaka za Nchi husika na wamekua wakiingilia siasa na hata kujaribu kushinikiza ajenda zao zisiendana na mila za kiafrika.

China amekua mshirika namba moja Afrika nzima hii imepelekea Rais Donald Trump kuwekea tarrif Nchi zote Afrika zinazopeleka bidhaa USA kasoro Bukrina Fasso tu.

Today, Africa is laughing at the rest of the world.

African countries were smart enough reduce trade ties with a highly unpredictable superpower, and strengthen trade ties with a much more reliable superpower.

Other regions should learn from Africa.

View attachment 3295207
Wanafiki kazini, hamna kitu hapo
 
Africa ipi tunayoizungumia? Labda kama ipo nyingine
 
Hakuna watu bogus kama wachina. Bure kabisa.
 
Back
Top Bottom