Afrika yapongezwa kwa kukataa kua tegemezi wa Marekani na Ulaya

Afrika yapongezwa kwa kukataa kua tegemezi wa Marekani na Ulaya

Naona kuna maashindano ya East Vs West.

Propagandist at their best.

Yaliyosemwa hapa ni upotoshaji.
African countries were smart enough reduce trade ties with a highly unpredictable Europe and America
Hatahivyo sio kweli Nchi za Kiafrika zilifanya hivyo by choice.

ila ilikuwa ni kwa hila na mikakati ya muda mrefu ya nchi za Ulaya na Marekani kutengeneza mazingira magumu ya kufanya nao Biashara na hatimae kuzorotesha uchumi Afrika tubakie ombaomba.

Ni mara ngapi umewasikia wachumi na viongozi Waafrika wakisema tunataka Trade na sio misaada?

Mara nyingi tu.

Sasa inakuaje waseme( si jui nani kasema) kwamba "African countries were smart enough" to reduce trade ties wakati hata hizo trade ties ziko almost non-existance....na deficit zikiwa ni kubwa sana

Unakataaje kitu ambacho hakipo?
 
Nchi za Africa zimefanya chaguo sahihi la kutafuta mshirika wa kiuchumi anayejali na kuheshimu mamlaka za Nchi hizo na kuepukana Ushirika wa Marekani na Ulaya ambao mara nyingi umekua haziheshimu mamlaka za Nchi husika na wamekua wakiingilia siasa na hata kujaribu kushinikiza ajenda zao zisiendana na mila za kiafrika.

China amekua mshirika namba moja Afrika nzima hii imepelekea Rais Donald Trump kuwekea tarrif Nchi zote Afrika zinazopeleka bidhaa USA kasoro Bukrina Fasso tu.

Today, Africa is laughing at the rest of the world.

African countries were smart enough reduce trade ties with a highly unpredictable superpower, and strengthen trade ties with a much more reliable superpower.

Other regions should learn from Africa.

View attachment 3295207
China haiwezi kuisaidia Afrika. Wachina wanahangaika kama sisi tu waafrika, jitihada ni kupambania wachina wenzao ambao wako wengi duniani. Na kiongozi yoyote wa nchi ya Afrika anayeitegemea china kwenye maendeleo atawatesa tu raia wake.
 
Back
Top Bottom