Afrika yapongezwa kwa kukataa kua tegemezi wa Marekani na Ulaya

Naona kuna maashindano ya East Vs West.

Propagandist at their best.

Yaliyosemwa hapa ni upotoshaji.
African countries were smart enough reduce trade ties with a highly unpredictable Europe and America
Hatahivyo sio kweli Nchi za Kiafrika zilifanya hivyo by choice.

ila ilikuwa ni kwa hila na mikakati ya muda mrefu ya nchi za Ulaya na Marekani kutengeneza mazingira magumu ya kufanya nao Biashara na hatimae kuzorotesha uchumi Afrika tubakie ombaomba.

Ni mara ngapi umewasikia wachumi na viongozi Waafrika wakisema tunataka Trade na sio misaada?

Mara nyingi tu.

Sasa inakuaje waseme( si jui nani kasema) kwamba "African countries were smart enough" to reduce trade ties wakati hata hizo trade ties ziko almost non-existance....na deficit zikiwa ni kubwa sana

Unakataaje kitu ambacho hakipo?
 
China haiwezi kuisaidia Afrika. Wachina wanahangaika kama sisi tu waafrika, jitihada ni kupambania wachina wenzao ambao wako wengi duniani. Na kiongozi yoyote wa nchi ya Afrika anayeitegemea china kwenye maendeleo atawatesa tu raia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…