Afrika yetu ni ngumu sana kumuondoa kiongozi aliye madarakani iwe Ikulu au kwenye chama,Lissu angelijua hili mapema

Afrika yetu ni ngumu sana kumuondoa kiongozi aliye madarakani iwe Ikulu au kwenye chama,Lissu angelijua hili mapema

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
kwa africa kumuondoa incumbent leader sio kitu rahisi hata kidogo.inahitaji kujipanga hasa
Nilitamani kuona Mbowe anatoka madarakani na Lissu ashike chama ila sioni kama Lissu amejipanga vyema.

CHADEMA imepoa inahitaji mropokaji kama Lissu.tatizo hajajipanga
 
Makolo ni hakika mmechanganyikiwa!

GUSA, ACHIA, TWENDE KWAO imekuchanganya KOLOKWINYO hadi umeamua kuandika Uzi wa Siasa kwenye Jukwaa la Mabingwa wa nchi!


😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom