After China terminated support for SGR Kenya, has signed agreements for phase III-V

Hahaha wachina wamesema wanafanya feasibility study kwa pesa zao wenyewe zaidi ya billion 3 (bure) kutoka Dodoma mpaka Mwanza na kutoka Tabora mpaka Kigoma na Mpanda then ujenzi utaanza on the spot

Tanzania tunabembelezwa mpaka kero
magu ni moto heheh amewanyima kabisa usingizi wakenya na wametoa 146billion kwa ajili ya ujenzi wa chuo kikuu cha usafirishaji tanzania ni fire
 
Sleepers za reli Dar mpaka moro wekeni video zake kama picha hamna.

Kazi inaendelea kulingana na work schedule. Contractor huwa na timelines za kufuata na mpango wa kufanya kazi.

You cannot plan to do a steam engine rail, then midway, you change to electric rail without planning. Such things only happens in failed states.

Wewe mtu wa kupkia mungiki changaa unaelewa nini kweli?
 
Tunaelekea Kisumu nyinyi bado Dar hamjaanza sasa Nani mpika changaa?
 
Tunaelekea Kisumu nyinyi bado Dar hamjaanza sasa Nani mpika changaa?
kisumu ya wapi munajenga kutoka nairobi to naivasha 90km nilitegemea munajenga about 300km kumbe 90km masikini au mumeanza kunusa haruufu ya white elephantπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kisumu ya wapi munajenga kutoka nairobi to naivasha 90km nilitegemea munajenga about 300km kumbe 90km masikini au mumeanza kunusa haruufu ya white elephantπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Reli yetu ni 600km n yenyu ni 0km hata kama hauna akili ni wazi kuwa ya Wadanganyika ni white elephant. Ati mnajenga bullet train ya kubebea mizigo??? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na umeme wa 1350MW?? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na deni ya $20 billion nusu ya gdp yenyu??? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na Nchi yenyewe LDC?? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na benki ya CDRB inapumulia kwenye mashine??? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na 92% ya Dar Sluum ni Slum? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na barabara tarmacked ni 1500km only?? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ pipeline mnawangoja maskini wenzenu waganda wawajengee??? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na Dangote anazifunga viwanda Nchi ya viwonder?? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Bandari ya Bagamoyo je πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na zile skyscrapers zenu tatu naskia hazina wateja wakuzikodisha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahaha.. Sasa video na picha kipi kizuri, Ama kweli Ukizaliwa MKENYA ni hasara Duniani
Wanahisi tupo unemployed kiasi cha kwenda kuwa tumapiga picha Ujenzi wa SGRπŸ˜€πŸ˜€ Ukisikia zero brain ndo huyoπŸ˜€πŸ˜€
 
phase 1 hata bado watu wanazungumzia phase 4πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sleepers za reli Dar mpaka moro wekeni video zake kama picha hamna.
malory yana chimba mashino sasa ndio wanaita phase 1 hahahaha
 
Sleepers za reli Dar mpaka moro wekeni video zake kama picha hamna.
Uliambiwa reli inajengwa kama barabara ?? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Muda simrefu ukiona sleepers utaomba trainπŸ˜€πŸ˜€ Mwanzo ulianza na concreteπŸ˜€πŸ˜€ Zero brain in the makingπŸ˜€πŸ˜€
 
Akulipe kwa darasa ulilompa huyo Zero BrainπŸ˜€πŸ˜€
 
Aisee jamaa katoa povu kwenye matundu yoteπŸ˜€πŸ˜€ Mume wahi ona mtoto akigombona na mwenzake anavyotoa claims nyingi ?? πŸ˜€πŸ˜€ Ndo zero brain kawa leoπŸ˜€πŸ˜€Jamaa kawa kama mtotoπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…