Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sasa ndio wakati wao wa kutumia pesa!he is a "bollywood pensioner"ulipowaona wananoga walikuwa wanatafuta pesa ratiba tight hawawezi kula bata za mbali!Dah jamaa kazeeka kweli, bado yupo?? Nakumbuka nikiwa mdogo kwenye video za mtaani nilivyokua napenda movie zake pamoja na akina Govinda, Mithun, Anil Kapoor, Shakti Kapoor n.k.
Movie yake ya Taaqatwar ambayo waliicheza na Govinda miaka ya 80s ndio sijasahau hadi leo.
Haya hongereni, ila mbona hamuwavutii wakati wakiwa wananoga kwenye taaluma zao, sasa wamezeeka na wamefulia na hawatambuliki tena, watu kama akina Harrison Ford, Arnold Schwarzenegger n.k. taratibu wanapotea.
Sehemu pekee ya kuwa rejuvenated ni Tanzania the soul of Africa ndio mana unawaona hawakatiki Tanzania sehemu pekee ya kutuliza mioyo yao.Dah jamaa kazeeka kweli, bado yupo?? Nakumbuka nikiwa mdogo kwenye video za mtaani nilivyokua napenda movie zake pamoja na akina Govinda, Mithun, Anil Kapoor, Shakti Kapoor n.k.
Movie yake ya Taaqatwar ambayo waliicheza na Govinda miaka ya 80s ndio sijasahau hadi leo.
Haya hongereni, ila mbona hamuwavutii wakati wakiwa wananoga kwenye taaluma zao, sasa wamezeeka na wamefulia na hawatambuliki tena, watu kama akina Harrison Ford, Arnold Schwarzenegger n.k. taratibu wanapotea.
Sehemu pekee ya kuwa rejuvenated ni Tanzania the soul of Africa ndio mana unawaona hawakatiki Tanzania sehemu pekee ya kutuliza mioyo yao.
Anyway kuna wakati niliongea na baadhi ya watalii kuhusu maamuzi yao ya kuja Tanzania sikuamini wengi wao waliniambia kuja Tanzania ilikua ni ndoto yao tokea wakiwa wadogo hivyo wamekua wakisave/pension pesa kwa muda mrefu ili kuja kuona vivutio vyetu nchini.
Dah jamaa kazeeka kweli, bado yupo?? Nakumbuka nikiwa mdogo kwenye video za mtaani nilivyokua napenda movie zake pamoja na akina Govinda, Mithun, Anil Kapoor, Shakti Kapoor n.k.
Movie yake ya Taaqatwar ambayo waliicheza na Govinda miaka ya 80s ndio sijasahau hadi leo.
Haya hongereni, ila mbona hamuwavutii wakati wakiwa wananoga kwenye taaluma zao, sasa wamezeeka na wamefulia na hawatambuliki tena, watu kama akina Harrison Ford, Arnold Schwarzenegger n.k. taratibu wanapotea.
Hehehehe!! A movie star anayesifika na kubobea ana save hela kwa muda mrefu kusudi aweze kutembelea Tanzania siku moja....
Halafu eti ni ndoto yao tangu wakiwa wadogo, hivi unajua Tanzania imeanza kusikika juzi baada ya juhudi za rais Kikwete kuzunguka dunia. Hapo awali ilikua inatajwa hizi 'Tanzania a country to the south of Kenya' ili ilete picha ya wapi ilipo.
Kwa kifupo hana akili. Hahahahaha!!! Umenifundisha msemo.Yani wewe akili yako inapoishia ndipo inapoanzia
Nimesema niliongea na baadhi ya watalii normal people sijasema celebrities, Tanzania ilianza kujulikana hata kabla ya Kenya kuwapo kwanza hata tumewapita mpaka kuwa independent nyie ni crawling baby of all timeHehehehe!! A movie star anayesifika na kubobea ana save hela kwa muda mrefu kusudi aweze kutembelea Tanzania siku moja....
Halafu eti ni ndoto yao tangu wakiwa wadogo, hivi unajua Tanzania imeanza kusikika juzi baada ya juhudi za rais Kikwete kuzunguka dunia. Hapo awali ilikua inatajwa hizi 'Tanzania a country to the south of Kenya' ili ilete picha ya wapi ilipo.
Nimesema niliongea na baadhi ya watalii normal people sijasema celebrities, Tanzania ilianza kujulikana hata kabla ya Kenya kuwapo kwanza hata tumewapita mpaka kuwa independent nyie ni crawling baby of all time
Mlipata uhuru mbele yetu lakini hadi leo nyie maskini wa kutupwa ndani ya LDC, tumewashinda na cha kushanga nyie ni muungano wa nchi mbili, aibu sana.
Hahaha wakenya mnanichekeshaga sana na hii slogan yenu, mtamdanganya yule tu ambaye hajafika Kenya, maisha ya watu wa mkoa wa Kagera tu kwa viwango vya social development index ni wananchi wachache sana wa Nairobi they can afford that status, kwa social development welfare tupo mara million better than you huwezi kuilinganisha Kenya na Tanzania you are Poorest beyond repair.Mlipata uhuru mbele yetu lakini hadi leo nyie maskini wa kutupwa ndani ya LDC, tumewashinda na cha kushanga nyie ni muungano wa nchi mbili, aibu sana.
Kenya tulishaiacha nyuma muda mrefu na hawatakaa waje watukute once the sleeping giant already awake there's no way to be conquered forever.Mme tushinda wapi Nyagau nyinyi?? Soma hapo MK254(INTENSE PENETRATION)View attachment 545007 View attachment 545008 View attachment 545009 View attachment 545010
Hahaha wakenya mnanichekeshaga sana na hii slogan yenu, mtamdanganya yule tu ambaye hajafika Kenya, maisha ya watu wa mkoa wa Kagera tu kwa viwango vya social development index ni wananchi wachache sana wa Nairobi they can afford that status, kwa social development welfare tupo mara million better than you huwezi kuilinganisha Kenya na Tanzania you are Poorest beyond repair.