After so many Hollywood's now Bollywoods reaction, 1 spotted in Tanzania

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
IMG_20170718_072135.JPG
IMG_20170718_072118.JPG
 
Dah jamaa kazeeka kweli, bado yupo?? Nakumbuka nikiwa mdogo kwenye video za mtaani nilivyokua napenda movie zake pamoja na akina Govinda, Mithun, Anil Kapoor, Shakti Kapoor n.k.

Movie yake ya Taaqatwar ambayo waliicheza na Govinda miaka ya 80s ndio sijasahau hadi leo.

Haya hongereni, ila mbona hamuwavutii wakati wakiwa wananoga kwenye taaluma zao, sasa wamezeeka na wamefulia na hawatambuliki tena, watu kama akina Harrison Ford, Arnold Schwarzenegger n.k. taratibu wanapotea.
 
Mkuu sasa ndio wakati wao wa kutumia pesa!he is a "bollywood pensioner"ulipowaona wananoga walikuwa wanatafuta pesa ratiba tight hawawezi kula bata za mbali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah jamaa kazeeka kweli, bado yupo?? Nakumbuka nikiwa mdogo kwenye video za mtaani nilivyokua napenda movie zake pamoja na akina Govinda, Mithun, Anil Kapoor, Shakti Kapoor n.k.

Movie yake ya Taaqatwar ambayo waliicheza na Govinda miaka ya 80s ndio sijasahau hadi leo.

Haya hongereni, ila mbona hamuwavutii wakati wakiwa wananoga kwenye taaluma zao, sasa wamezeeka na wamefulia na hawatambuliki tena, watu kama akina Harrison Ford, Arnold Schwarzenegger n.k. taratibu wanapotea.
Sehemu pekee ya kuwa rejuvenated ni Tanzania the soul of Africa ndio mana unawaona hawakatiki Tanzania sehemu pekee ya kutuliza mioyo yao.

Anyway kuna wakati niliongea na baadhi ya watalii kuhusu maamuzi yao ya kuja Tanzania sikuamini wengi wao waliniambia kuja Tanzania ilikua ni ndoto yao tokea wakiwa wadogo hivyo wamekua wakisave/pension pesa kwa muda mrefu ili kuja kuona vivutio vyetu nchini.
 
Hehehehe!! A movie star anayesifika na kubobea ana save hela kwa muda mrefu kusudi aweze kutembelea Tanzania siku moja....
Halafu eti ni ndoto yao tangu wakiwa wadogo, hivi unajua Tanzania imeanza kusikika juzi baada ya juhudi za rais Kikwete kuzunguka dunia. Hapo awali ilikua inatajwa hizi 'Tanzania a country to the south of Kenya' ili ilete picha ya wapi ilipo.
 
Povuuuuuuu. Huyu je Mamadou Sakho mchezaji wa Liverpool na France national team. Zanzibar?
IMG_20170626_191419.jpg
IMG_20170624_211207.jpg
IMG_20170624_152059.jpg
Dah jamaa kazeeka kweli, bado yupo?? Nakumbuka nikiwa mdogo kwenye video za mtaani nilivyokua napenda movie zake pamoja na akina Govinda, Mithun, Anil Kapoor, Shakti Kapoor n.k.

Movie yake ya Taaqatwar ambayo waliicheza na Govinda miaka ya 80s ndio sijasahau hadi leo.

Haya hongereni, ila mbona hamuwavutii wakati wakiwa wananoga kwenye taaluma zao, sasa wamezeeka na wamefulia na hawatambuliki tena, watu kama akina Harrison Ford, Arnold Schwarzenegger n.k. taratibu wanapotea.
 
Yani wewe akili yako inapoishia ndipo inapoanzia
Hehehehe!! A movie star anayesifika na kubobea ana save hela kwa muda mrefu kusudi aweze kutembelea Tanzania siku moja....
Halafu eti ni ndoto yao tangu wakiwa wadogo, hivi unajua Tanzania imeanza kusikika juzi baada ya juhudi za rais Kikwete kuzunguka dunia. Hapo awali ilikua inatajwa hizi 'Tanzania a country to the south of Kenya' ili ilete picha ya wapi ilipo.
 
Hehehehe!! A movie star anayesifika na kubobea ana save hela kwa muda mrefu kusudi aweze kutembelea Tanzania siku moja....
Halafu eti ni ndoto yao tangu wakiwa wadogo, hivi unajua Tanzania imeanza kusikika juzi baada ya juhudi za rais Kikwete kuzunguka dunia. Hapo awali ilikua inatajwa hizi 'Tanzania a country to the south of Kenya' ili ilete picha ya wapi ilipo.
Nimesema niliongea na baadhi ya watalii normal people sijasema celebrities, Tanzania ilianza kujulikana hata kabla ya Kenya kuwapo kwanza hata tumewapita mpaka kuwa independent nyie ni crawling baby of all time
 
Mlipata uhuru mbele yetu lakini hadi leo nyie maskini wa kutupwa ndani ya LDC, tumewashinda na cha kushanga nyie ni muungano wa nchi mbili, aibu sana.
 
Hahaha wakenya mnanichekeshaga sana na hii slogan yenu, mtamdanganya yule tu ambaye hajafika Kenya, maisha ya watu wa mkoa wa Kagera tu kwa viwango vya social development index ni wananchi wachache sana wa Nairobi they can afford that status, kwa social development welfare tupo mara million better than you huwezi kuilinganisha Kenya na Tanzania you are Poorest beyond repair.
 
Kaka mpo ndani ya orodha ya mataifa maskini wa kutupwa dunia hii sasa nikusaidieje.
 
Back
Top Bottom