Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Huwa story za namna hii zinakuwa na traffic balaa.

Mwanaume gani atafumwa then aambiwe endelea kula vitu akaweza, si itasinyaa mda huo huo? Japo kweli maofisi yamejaa ufuska but this one...nah, total scum!
utakukuruka tu ili utii amri hata kama hakuna kinachofanyika,mguu wa kuku mchezo?
 
Simtetei huyo dada, ila baadhi ya wanaume wanatesa sana wanawake wao kihisia,wanawake wanachoka pia,kwa ujumla mwanamke ni mvumilivu sanaa kuliko mwanaume
Tangu mama zetu walichoshwa sema ndo vile walikuwa tegemezi wanalishwa na kuvikwa wangeenda wapi
Baadhi ya wanaume msipojirekebisha......shauri yenu
 
We nae,story anasimulia third party,ts obvious mume alikuwa na data/source of info zake ambazo mtoa story hajazijua
 
Haiwezekani kua hawezi bana,mie lazima nimsaidie na yeye anisaidie as simple as that...
Mapenzi haya Acha tu Unaweza ukamuomba mwenza wako mchezo for months na asikupe kwa sababu anazozijua yeye,hadi ukachoka hata kumuona hutamani,Acha kabisa Usiombe yakukute
 
Mfano ofisi unajulikana we mume wa flani na unaingia mkeo akiwa mwenyeji wako,sijui kwa nn mnaona hii story ni fake ts very possible
Japo sijaelewa wale why hawakufunga mlango na funguo
 
Ishatokea ofisi flani mida ya sa 12 watu wanaishia kuondoka mtu kajichanganya kapita ofisini kwa meneja flani,lohh anakuta meneja kampakata mtoto kiroho safii, ilikuwa skendo balaaa,dada ilibidi achukue likizo ya ghafla km mwezi na nusu
Na yule jamaa alikua kama messenger hivi akafanyiwa mpango na meneja akatoka ofisini kabla dada hajarudi kutoka likizo
 
narudia kweli tunatofautiana...
mie ningejifyatulia wote za viuno...madai in my defense 😀
 
Matokeo yakoje? aliyetaka kujiua anaendeleaje? Namwonea huruma asife bila toba.
 
i doubt the authenticity of this story.za kuambiwa ongeza za kwako.jambo la kwanza mtu hawezi toka nje anataka kumuona boss unampeleka moja kwa moja kwa boss bila kujua kama ana mda wa kuongea na mgeni(protocal) pili mfanyakazi mwenzenu hawezi kutoka msijue yuko wapi kama yupo mjengoni tatu boss hawezi acha mlango wazi huku anafanya usaliti kama huo.plz this story is coocked
 
narudia kweli tunatofautiana...
mie ningejifyatulia wote za viuno...madai in my defense 😀
Baada ya kuwafyatulia unadhani nin kingefuata kwako? Yann kujipa shida ilihali wanawake wapo wengi?
 
Ningeshangaa sana kama wasingukuwepo wasio amini maana hata kufufuka kwa Yesu walikuwepo pia kama Tomaso na wengne. Japo kutokuamini kwao hakukuondoa ukweli.
 
Ningeshangaa sana kama wasingukuwepo wasio amini maana hata kufufuka kwa Yesu walikuwepo pia kama Tomaso na wengne. Japo kutokuamini kwao hakukuondoa ukweli.
wise man are always in doubt......
 
Ningeshangaa sana kama wasingukuwepo wasio amini maana hata kufufuka kwa Yesu walikuwepo pia kama Tomaso na wengne. Japo kutokuamini kwao hakukuondoa ukweli.
hakuna binadamu anayeweza kuwa na hamu na kuendelea kusex baada ya kufumwa.umedanganya mazuzu sio mimi.
 
hakuna binadamu anayeweza kuwa na hamu na kuendelea kusex baada ya kufumwa.umedanganya mazuzu sio mimi.
Kufanya si lazima ufanye kwa uhalisi yaweza kuwa alikuwa ana act kuokoa roho yake..tafakari, acha uvivu wa kukimbilia conclusion
 
Kufanya si lazima ufanye kwa uhalisi yaweza kuwa alikuwa ana act kuokoa roho yake..tafakari, acha uvivu wa kukimbilia conclusion
hayo majibu tu uliyatoa hapo hayaonyeshi.kama kitu hicho kilitokea! kwanza hata ww huna kazi zaidi ya jf kushinda humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…