Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakukuruka tu ili utii amri hata kama hakuna kinachofanyika,mguu wa kuku mchezo?Huwa story za namna hii zinakuwa na traffic balaa.
Mwanaume gani atafumwa then aambiwe endelea kula vitu akaweza, si itasinyaa mda huo huo? Japo kweli maofisi yamejaa ufuska but this one...nah, total scum!
We nae,story anasimulia third party,ts obvious mume alikuwa na data/source of info zake ambazo mtoa story hajazijuaMKUU hii in stori ya kutunga tu - hakuna ukweli wowote. What a coincident - mumewe kuingia ofisi kwa Mkewe kakuta hayupo - kaomba msaada wa kupelekwa ofisi kwa bosi wake,narudia - ofisini sio nyumbani kwa bosi au Hotelini - kakuta mlango wa Bosi umerudishiwa tu haujafungwa ili yeyote anayetaka kuangalia senema ya bure ruksa!!!
Bosi baada ya kuwakuta sijui kwenye meza, sakafuni au kwenye makochi ya ofisini kawalazimisha kwa mtutu wa bunduki wagoni waendelee na shughuli yao kama kawa - Mara mumewe huyoo katokomea kusiko julikana baada ya kuhakikisha wabaya wake wanaendelea na ndomboro ya soro!!! Hii stori wapi na wapi??
Angesema labda mumewe aliwahi kutonywa na mtu, baadae akafanya mpango wa kuweka kwa kificho IP camera ofisi kwa bosi na vikorokocho vingine vidogo vidogo vya kumuwezesha kuona kinacho endelea ofisini kwa Bosi wa mkewe kwa kutumia smartphone yake via internet akiwa mbali sana au WiFi akiwa karibu by installing a proper apps kwenye smartphone anaweza kuona kila kitu kinachoendelea ndani ya ofisi ya Boss wake yeye akiwa ndani ya gari yake aliyo park karibu na ofisi ya Mkewe na Bosi wake, hiyo in rahisi kufanyika - njia nyingine ya kuwafuma with his pants down ofisi kwake sioni.
Mapenzi haya Acha tu Unaweza ukamuomba mwenza wako mchezo for months na asikupe kwa sababu anazozijua yeye,hadi ukachoka hata kumuona hutamani,Acha kabisa Usiombe yakukuteHaiwezekani kua hawezi bana,mie lazima nimsaidie na yeye anisaidie as simple as that...
Mfano ofisi unajulikana we mume wa flani na unaingia mkeo akiwa mwenyeji wako,sijui kwa nn mnaona hii story ni fake ts very possibleNi kweli kabisa Mleta uzi ana hasira zake kaitunga tu
ni ofisi gani utaingia moja kwa moja na kuwapita walinzi km zio mchongo wao kumkamatisha mke na mume waq mtu?
ni wajinga kiasi gani wabamandane ofisini bila ya kufunga mlango
ni member gani wa JF asiye hata na kasimu ka tochi atutupie picha?
Ok Monicca tutajie hiyo ofisi ipo kijiji gani km huwezi tupa picha na Mji
Ishatokea ofisi flani mida ya sa 12 watu wanaishia kuondoka mtu kajichanganya kapita ofisini kwa meneja flani,lohh anakuta meneja kampakata mtoto kiroho safii, ilikuwa skendo balaaa,dada ilibidi achukue likizo ya ghafla km mwezi na nusummmmmmhhhhhh!!! hizi mambo bado zipo tu? hatari sana.... inanikumbusha kipindi nimemaliza a level miaka ya 2001 nilipata tempo kwenye moja ya kampuni ya ujenzi kubwa kidogo mjini. kumbe yule mkurugenzi (mwenye kampuni) alikuwa anakula anakula ps wake ofisini,kuna siku kuna fundi wa kuitwa ngosha aliwafuma live ofisini wameinamishana.. fundi akabaki kuduwaa asijue la kufanya mpaka aliposhtuliwa na wapita kwenye korido kuwa anaunguza picha ndo ikabidi afunge mlango akasepa zake na pesa asidai siku hiyo.
Umeonana na damu salama mwenyewe kabla ya kufika kituoni kwake..??Kituo cha damu salama
yawezekana pia mkuu..Mapenzi haya Acha tu Unaweza ukamuomba mwenza wako mchezo for months na asikupe kwa sababu anazozijua yeye,hadi ukachoka hata kumuona hutamani,Acha kabisa Usiombe yakukute
Ningeshangaa sana kama wasingukuwepo wasio amini maana hata kufufuka kwa Yesu walikuwepo pia kama Tomaso na wengne. Japo kutokuamini kwao hakukuondoa ukweli.i doubt the authenticity of this story.za kuambiwa ongeza za kwako.jambo la kwanza mtu hawezi toka nje anataka kumuona boss unampeleka moja kwa moja kwa boss bila kujua kama ana mda wa kuongea na mgeni(protocal) pili mfanyakazi mwenzenu hawezi kutoka msijue yuko wapi kama yupo mjengoni tatu boss hawezi acha mlango wazi huku anafanya usaliti kama huo.plz this story is coocked
wise man are always in doubt......Ningeshangaa sana kama wasingukuwepo wasio amini maana hata kufufuka kwa Yesu walikuwepo pia kama Tomaso na wengne. Japo kutokuamini kwao hakukuondoa ukweli.
hakuna binadamu anayeweza kuwa na hamu na kuendelea kusex baada ya kufumwa.umedanganya mazuzu sio mimi.Ningeshangaa sana kama wasingukuwepo wasio amini maana hata kufufuka kwa Yesu walikuwepo pia kama Tomaso na wengne. Japo kutokuamini kwao hakukuondoa ukweli.
Kufanya si lazima ufanye kwa uhalisi yaweza kuwa alikuwa ana act kuokoa roho yake..tafakari, acha uvivu wa kukimbilia conclusionhakuna binadamu anayeweza kuwa na hamu na kuendelea kusex baada ya kufumwa.umedanganya mazuzu sio mimi.
hayo majibu tu uliyatoa hapo hayaonyeshi.kama kitu hicho kilitokea! kwanza hata ww huna kazi zaidi ya jf kushinda humu.Kufanya si lazima ufanye kwa uhalisi yaweza kuwa alikuwa ana act kuokoa roho yake..tafakari, acha uvivu wa kukimbilia conclusion