Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Afumwa akifanya mapenzi ofisini

Ndiyo maana nikakuambia wewe ni tatizo sasa huo ujinga wangu nn
Ujinga wako unakimbilia kwenye conclusion wakati hujui yaliyo nyuma ya pazia..tatazo langu mi ni mkweli kwako
 
Au umemind mzigo? Pole sana.
Wala siwajui nimeamua tu nikueleze ili uacha hiyo tabia uliyo nayo ni mbaya uache tabia ya uchakumbimbi maana ninakuonea huruma gharama ya haya mambo unayoyafanya itakuwa ni kubwa na ipo siku utakumbuka haya maneno ninayokueleza.
 
Ujinga wako unakimbilia kwenye conclusion wakati hujui yaliyo nyuma ya pazia..tatazo langu mi ni mkweli kwako
Ni mtu mnafiki na mpenda majungu ndiyo maana ninakushauri narudia tena ninakushauri acha kushabikia mambo yasiyo kuhusu na kuyatangaza
 
Wala siwajui nimeamua tu nikueleze ili uacha hiyo tabia uliyo nayo ni mbaya uache tabia ya uchakumbimbi maana ninakuonea huruma gharama ya haya mambo unayoyafanya itakuwa ni kubwa na ipo siku utakumbuka haya maneno ninayokueleza.
Ila tabia ya kufanya mapenzi ofisini ni nzuri et? Wakugharimika siyo Mimi ni mfumaniwa kama kinakuuma watafute uwaambie au ni PM nikupe namba zao uwaambie..sibabaishwi na nyau yyte mjini hapa. By the way niliajiriwa kwa taaluma yangu wa si huruma ya bosi
 
Ni mtu mnafiki na mpenda majungu ndiyo maana ninakushauri narudia tena ninakushauri acha kushabikia mambo yasiyo kuhusu na kuyatangaza
Subiri siku nikikuomba ushauri ndiyo unishauri, kwa sasa sihitaji ushauri wako plz...emu pita bhana unanuka kwapa.
 
Tulia bint wewe bado mdogo kuna watu wengi wana taaluma na wako mtaani by the way kugharamika siyo kukosa kazi gharama za ni nyingi na pole nimefika mwisho mwenye macha haambiwi tazama
 
Kakojoe ukalale huko, tena uwahi mapema
 
Moniccca naomba updates,mgonjwa anaendeleaje? Au alifaulu kujiterminate?
 
Back
Top Bottom