Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Huo ni mfumo rasmi kabisa. Nenda kajifunze kuhusu contract za kazi za wageni yaani immigrants zilizopo. Wanaita Kafir contracts kama sikosei.KWANINI SERIKALI YA SAUDIA INAKUMBATIA UAJI HUO?AU WAKIMWUA MTU MWEUSI NI SAWA NAKUA KUKU?JE WATUHUMIWA WANASHITAKIWA?JE NI KWANINI SERIKALI ZETU ZPO KIMYA KWA HAYO MAUAJI HAYO WA MABINTI AMBAO HAWANA HATIA?
Ni contracts ambazo zinamnyonya muajiriwa na kumdhurumu haki zake ikibidi kudhurumiwa uhai wake.
Hizi contract zinampa muajiri haki ya kumnyanyasa muwajiriwa. Me nashangaa sana hawa wakenya namna wapo very obsessed na kwenda huko.
Katika kitu ambacho mimi siwezi ni kufanya kazi chini ya watu wa Uarabuni, wachina au Asia yoyote yule unless awe ni mtu mwenye exposure ameishi sana ulaya so anajua haki na stahiki za raia wengine.
Ila hawa takataka hawana akili hata kidogo, ukikaa chini yao maana yake umechagua wakutreat kama takataka. Na ndivyo watakutreat hivyo.