Afungiwa na Maiti Chooni Siku 3

Afungiwa na Maiti Chooni Siku 3

Waarab
Screenshot-2024-06-06-at-11.55.31.png

Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa akifanya kazi alimkuta mfanyakazi mwengine aitwaye Sharmin ambaye Bosi wake alidaiwa kumuua.

“Bosi wangu alikuwa ananifungia muda wowote anatoka nyumbani, nilikuwa nafanya kazi na mwanadada mwingine nikimuuguza mtoto wa bosi wangu, siku moja nilisikia sauti, baadaye nilisikia mtoto akilia, nikamuita mwenzangu, lakini hakujibu kisha akanijibu huku akiogopa na kuniambia atakufa siku hiyo kisha nikasikia mlango ukigongwa kwa nguvu na sikumsikia tena yule binti,” alikumbuka vyema”

Beatrice alisema mlango wake ulifunguliwa ghafla, na kumuona mtoto akivuja damu, huku mfanyakazi mwenzake (Sharmin) akiwa amelala chini.

“Bosi na Mkewe walitoa mtoto nje ya nyumba na wakaniambia mwili wa mwenzangu Sharmin niupeleke Chooni” alisema Beatrice.

“Haikuniingilia akilini kuwa Bosi anaweza kumfanyia Sharmin kitu kama kile, Sharmin alilala pale chini, nilianza kuwaza kwanini Sharmini haonekani anapumua na kwanini walikuwa wakiniita badala yake, nilijaribu kuita jina lake kwa sauti ya chinichini kwa sababu niliogopa kumchunguza mbele ya Bosi na Mkewe lakini niliogopa Beatrice anasema.

Beatrice alisita kuubeba mwili huo hadi chooni kwa sababu alihofia angeweza kuacha alama za Vidole vyake kwenye mwili wa Sharmin na nguo zake.

Beatrice aliogopa maana sauti ya kwanza aliyosikia ilikuwa ni Mlio wa Risasi kwani Sharmin alikuwa kimya kwa muda, licha ya hofu yake Beatrice aliuvuta mwili baada ya kupigwa bila huruma na Bosi huyo katili.

“Waliponiomba nimvute Sharmin nilimvuta na mara moja nikiwa chooni nilifungiwa naye, alikuwa ni binti mdogo tu hana hata mtoto. nilikaa hapo kwa muda wa siku tatu na mwili huo hadi ukaanza kupata harufu, kwa kweli, nilikuwa nikinywa maji ya chooni, na sikuweza hata kulala, na hadi sasa, nina picha hiyo akilini,” alisimulia Beatrice.

Baada ya Siku tatu Bosi wake ambaye siku hizo hakuwepo nyumbani na Familia yake, alifika kwa ajili yake na kumpa masharti Magumu kabla ya kuachiwa huru, jambo embalo alikubali kwa usalama wake.

Chanzo: BONGO 5
u wana roho mbaya sana!!
 
Tuache shobo na race zisizotuhusu, muarabu ndugu yake muarabu, Mhindi ndugu yake Mhindi, Mzungu ndugu yake mzungu, mwafrica ndugu yake mwafrica.

Haya mambo yakuwashobokea na kuwakaribisha kwenye nchi zetu ilihali huko kwao sisi tunaonekana wapumbavu ndio yanawafanya kutuona wapumbavu.

Sisi tunabaguliwa halafu tumekazana tuko busy eti kupinga ubaguzi na sio na sisi kuanza ubaguzi wa kwa mtu mweupe.

Tuanze tu kuweka nasisi Sheria zetu ngumu za kibaguzi kama, marufuku Mzungu, Mhindi, Muarabu kuoa au kuoelewa na mtu mweusi, marufuku Mzungu, Mhindi au muarabu kumiliki ardhi Africa, biashara yeyote anayofanya Mzungu, Mhindi au muarabu Africa basi nusu na robo ya faida ni mali ya Africa inapaswa kubaki hapa.

Tuanze kufungua kesi kwa waarabu wote, wahindi wote na Wazungu wote walioshiriki kuwauza mababu zetu utumwani, tufungue makesi kwa nchi zote zilizowahi kuikoloni Africa, tulipwe mafidia na malipo ya resources walizochukua Africa.

Walowezi wote eti sijui waarabu wa Kigoma mara Tanga, mara wahindi wa kisarawe sijui Bukoba mara Mzungu sijui wa Mbeya mara Kayavi hawa wote ni wanyonya damu tu na wanatuenjoy tu ( SIO WAAMINIFU KWA AFRICA) hawa wasitambuliwe kama WaAfrica sio walowezi wanapaswa kuishi na passport za kwao kwenye original yao au warudi makwao na hakuna kutambulika eti ni WaAfrica sijui watanzania bali waishi kama wageni wengine.
😹😹😹 una hoja usikilizwe
 
Muislamu ndugu yake muislamu
Walisikika walevi wa dini wakisema.

Whites wote mtu mweusi kwao ni kama nzi tu,
Tukiwapanga nani anaongoza kwa ukatili kwa mweusi itakuwa hivi.
1: Mwarabu
2: Muhindi
3:Mchina
4: mzungu
5: whites wengineo.

Ila hapo kwenye 2 na 3 inaweza tatu ikawa mbili au mbili ikawa tatu.

Blacks tuache Shobo na hao watu
Tatizo linaanza kwa Muafrika kujiita mtu mweusi, kama wewe hapo. Wewe sio mtu mweusi wala Black, wewe ni Muafrika kutoka Africa Mashariki, Tanzania. Kama vile mchina asivyojiita "Njano" au "Yellow" anajiita tu mchina "Chinese." Watu weusi ni Wamarekani Weusi. Sababu wale hawana kwao tena na ambako wanapaita kwao kuna mchanganyiko wa Europeans. Ambao wana rangi nyeupe. Hivyo ili kujitofautisha, hawana budi bali kujiita wamarekani weusi. Black Americans. Na wale European Americans kujiita White Americans. Je ushawahi kuona Mrusi anajiita White? No. Kwanini hawajiiti White na wakati wao ni weupe? Jibu ni sababu wana kwao. Wenyewe wanaita "Mother Russia."

Sababu binadamu hawezi tambulika kwa rangi yake. Binadamu kutambulika kwa rangi ni kumshusha thamani, hadhi na utu. It's dehumanizing na diminishing. Ni kama mnyama asiye na mbele wala nyuma, mwanzo wala mwisho. Ni kiumbe cha ajabu kisicho na kwao na kisichostahili heshima. You're a nobody.
"Mimi ni Black!" Wewe ni Black? Black what? Black bottle? Black color? Black animal? What exactly is black?

Ukiondoa hilo. Waafrica sio watu weusi na hawawezi kuwa watu weusi. Mimi ni Muafrika na sio mweusi. Rangi yangu ni maji ya kunde, Pale Brown. Sasa nitajiitaje mweusi? Wale weupe kabisa nao watajiitaje? Hivyo hakuna Muafrika mweusi, bali kuna Waafrica tu. Wenye rangi tofauti. Nyeusi ni mojawapo.

Na kibaya zaidi, Mwafrika kujiita Black sio kitu kizuri sababu tayari utakuwa victim wa mambo yasiyokuhusu. Sababu Black ni Wamarekani na wewe sio Mmarekani. Wale jamaa ukiondoa kufanana rangi, nyie ni watu wawili tofauti. Hamfanani hata kidogo. Cha ajabu zaidi kinachoprove point yangu. Hata Hao Black Americans wanabaguana kama mtu sio... wanasema "Not Black Enough!" Yaani ukiwa mweupe kidogo tu wanakutenga. Au wanakuita whiteboy. Hivyo nitashangaa zaidi nikiona wewe Muafrika unajiita Black alafu ni mweupe kama Obama. And yes, unajua kwanini Obama alipita uchaguzi Marekani? Sababu he didn't sound Black nor looked like one. Sababu Black Americans wanaojulikana kwa sifa mbaya. Victim mindset, aggressive, law breakers, criminals, unintelligent, unsophisticated with hood culture and drug addictions. Vilevile kizazi cha watumwa.

Hata ukienda Marekani leo, ukijiita Mwafrika na ukiwa na accent ya kwenu, tayari kila mtu anakuchulia tofauti, Utachukuliwa kama mgeni wa kawaida kutoka nje mwenye muonekano tofauti, as of Asians au Indians na utapewa heshima unayostahili. Badala ya watu kukuita "That Black Guy." watakuita "That African Man."

Hakuna mtu anayeheshimika kama mwenye kwao. Sababu tayari anaheshimu kwao. Hivyo ukitaka uheshimike popote pale. Basi kuwa na kwenu na jitambulishe kikwenu.

Na kuongezea hapo, kiuhalisia akili za binadamu zote ziko sawa na wanafikiria vitu vilevile vinavyofanana. Kinachotufautisha ni kujitambua na jinsi ya kutumia hizo akili. Hakuna mtu atakubagua kama una akili, unajitambua na kujiheshimu. Isipokuwa atakuogopa na kukuheshimu, sababu wabaguzi wote hawana akili. That's a fact.
 
Maarabu ni mashetwani pure
Vijakazi wao wavaa kubazi wanavyowahusudu Sasa utashangaa
 
Uhusiano kati ya Mwafrika na mzungu au Mwafrika na Mchina ni Bora kuliko uhusiano wa Mwafrika na hawa kenge wa kiislamu
Hata wajapan, wachina na wakorea walikuwa wanadharaulika na kupuuziwa na dunia. Au tuseme wazungu. Walipoona huo ni ufala, wakabadirika na leo wanaheshimika popote pale duniani.

Waafrica siku wakipata akili na kujitambua kisha kuondoa umasikini ndio wataheshimika kiujumla hapa duniani.
 
Tatizo linaanza kwa Muafrika kujiita mtu mweusi, kama wewe hapo. Wewe sio mtu mweusi wala Black, wewe ni Muafrika kutoka Africa Mashariki, Tanzania. Kama vile mchina asivyojiita "Njano" au "Yellow" anajiita tu mchina "Chinese." Watu weusi ni Wamarekani Weusi. Sababu wale hawana kwao tena na ambako wanapaita kwao kuna mchanganyiko wa Europeans. Ambao wana rangi nyeupe. Hivyo ili kujitofautisha, hawana budi bali kujiita wamarekani weusi. Black Americans. Na wale European Americans kujiita White Americans. Je ushawahi kuona Mrusi anajiita White? No. Kwanini hawajiiti White na wakati wao ni weupe? Jibu ni sababu wana kwao. Wenyewe wanaita "Mother Russia."

Sababu binadamu hawezi tambulika kwa rangi yake. Binadamu kutambulika kwa rangi ni kumshusha thamani, hadhi na utu. It's dehumanizing na diminishing. Ni kama mnyama asiye na mbele wala nyuma, mwanzo wala mwisho. Ni kiumbe cha ajabu kisicho na kwao na kisichostahili heshima. You're a nobody.
"Mimi ni Black!" Wewe ni Black? Black what? Black bottle? Black color? Black animal? What exactly is black?

Ukiondoa hilo. Waafrica sio watu weusi na hawawezi kuwa watu weusi. Mimi ni Muafrika na sio mweusi. Rangi yangu ni maji ya kunde, Pale Brown. Sasa nitajiitaje mweusi? Wale weupe kabisa nao watajiitaje? Hivyo hakuna Muafrika mweusi, bali kuna Waafrica tu. Wenye rangi tofauti. Nyeusi ni mojawapo.

Na kibaya zaidi, Mwafrika kujiita Black sio kitu kizuri sababu tayari utakuwa victim wa mambo yasiyokuhusu. Sababu Black ni Wamarekani na wewe sio Mmarekani. Wale jamaa ukiondoa kufanana rangi, nyie ni watu wawili tofauti. Hamfanani hata kidogo. Cha ajabu zaidi kinachoprove point yangu. Hata Hao Black Americans wanabaguana kama mtu sio... wanasema "Not Black Enough!" Yaani ukiwa mweupe kidogo tu wanakutenga. Au wanakuita whiteboy. Hivyo nitashangaa zaidi nikiona wewe Muafrika unajiita Black alafu ni mweupe kama Obama. And yes, unajua kwanini Obama alipita uchaguzi Marekani? Sababu he didn't sound Black nor looked like one. Sababu Black Americans wanaojulikana kwa sifa mbaya. Victim mindset, aggressive, law breakers, criminals, unintelligent, unsophisticated with hood culture and drug addictions. Vilevile kizazi cha watumwa.

Hata ukienda Marekani leo, ukijiita Mwafrika na ukiwa na accent ya kwenu, tayari kila mtu anakuchulia tofauti, Utachukuliwa kama mgeni wa kawaida kutoka nje mwenye muonekano tofauti, as of Asians au Indians na utapewa heshima unayostahili. Badala ya watu kukuita "That Black Guy." watakuita "That African Man."

Hakuna mtu anayeheshimika kama mwenye kwao. Sababu tayari anaheshimu kwao. Hivyo ukitaka uheshimike popote pale. Basi kuwa na kwenu na jitambulishe kikwenu.

Na kuongezea hapo, kiuhalisia akili za binadamu zote ziko sawa na wanafikiria vitu vilevile vinavyofanana. Kinachotufautisha ni kujitambua na jinsi ya kutumia hizo akili. Hakuna mtu atakubagua kama una akili, unajitambua na kujiheshimu. Isipokuwa atakuogopa na kukuheshimu, sababu wabaguzi wote hawana akili. That's a fact.
Maneno kibao, hata hueleweki
 
Hao hao waarabu ndiyo hao wanaopewa rasilimali za nchi?
 
Back
Top Bottom