Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi lakini masikini hawezi kumuwekea masharti tajiriTuache shobo na race zisizotuhusu, muarabu ndugu yake muarabu, Mhindi ndugu yake Mhindi, Mzungu ndugu yake mzungu, mwafrica ndugu yake mwafrica.
Haya mambo yakuwashobokea na kuwakaribisha kwenye nchi zetu ilihali huko kwao sisi tunaonekana wapumbavu ndio yanawafanya kutuona wapumbavu.
Sisi tunabaguliwa halafu tumekazana tuko busy eti kupinga ubaguzi na sio na sisi kuanza ubaguzi wa kwa mtu mweupe.
Tuanze tu kuweka nasisi Sheria zetu ngumu za kibaguzi kama, marufuku Mzungu, Mhindi, Muarabu kuoa au kuoelewa na mtu mweusi, marufuku Mzungu, Mhindi au muarabu kumiliki ardhi Africa, biashara yeyote anayofanya Mzungu, Mhindi au muarabu Africa basi nusu na robo ya faida ni mali ya Africa inapaswa kubaki hapa.
Tuanze kufungua kesi kwa waarabu wote, wahindi wote na Wazungu wote walioshiriki kuwauza mababu zetu utumwani, tufungue makesi kwa nchi zote zilizowahi kuikoloni Africa, tulipwe mafidia na malipo ya resources walizochukua Africa.
Walowezi wote eti sijui waarabu wa Kigoma mara Tanga, mara wahindi wa kisarawe sijui Bukoba mara Mzungu sijui wa Mbeya mara Kayavi hawa wote ni wanyonya damu tu na wanatuenjoy tu ( SIO WAAMINIFU KWA AFRICA) hawa wasitambuliwe kama WaAfrica sio walowezi wanapaswa kuishi na passport za kwao kwenye original yao au warudi makwao na hakuna kutambulika eti ni WaAfrica sijui watanzania bali waishi kama wageni wengine.
Wanafanyiwa sana ukatili, waarabu wana ukatili mno, sijui huko kwenye dini wanajifunza nini.Kuna m'moja hadi ilibidi nimtukane ndipo akanielewa. Demu m'moja wa Kinyaturu alitaka kwenda huko, ikabidi nimpe makavu kwa kutumia lugha kali na mwisho wa kauli nikamwambia kama unakwenda nenda na upumbavu wako akili utaikuta huko kwa hao mabwana zao unaowatetemekea.
Haki haitetewi, ama ipo ama hakuna tu.UBARIKIWE KWAKUTETEA HAKI
Wajinga ndio waliwao.![]()
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa akifanya kazi alimkuta mfanyakazi mwengine aitwaye Sharmin ambaye Bosi wake alidaiwa kumuua.
“Bosi wangu alikuwa ananifungia muda wowote anatoka nyumbani, nilikuwa nafanya kazi na mwanadada mwingine nikimuuguza mtoto wa bosi wangu, siku moja nilisikia sauti, baadaye nilisikia mtoto akilia, nikamuita mwenzangu, lakini hakujibu kisha akanijibu huku akiogopa na kuniambia atakufa siku hiyo kisha nikasikia mlango ukigongwa kwa nguvu na sikumsikia tena yule binti,” alikumbuka vyema”
Beatrice alisema mlango wake ulifunguliwa ghafla, na kumuona mtoto akivuja damu, huku mfanyakazi mwenzake (Sharmin) akiwa amelala chini.
“Bosi na Mkewe walitoa mtoto nje ya nyumba na wakaniambia mwili wa mwenzangu Sharmin niupeleke Chooni” alisema Beatrice.
“Haikuniingilia akilini kuwa Bosi anaweza kumfanyia Sharmin kitu kama kile, Sharmin alilala pale chini, nilianza kuwaza kwanini Sharmini haonekani anapumua na kwanini walikuwa wakiniita badala yake, nilijaribu kuita jina lake kwa sauti ya chinichini kwa sababu niliogopa kumchunguza mbele ya Bosi na Mkewe lakini niliogopa Beatrice anasema.
Beatrice alisita kuubeba mwili huo hadi chooni kwa sababu alihofia angeweza kuacha alama za Vidole vyake kwenye mwili wa Sharmin na nguo zake.
Beatrice aliogopa maana sauti ya kwanza aliyosikia ilikuwa ni Mlio wa Risasi kwani Sharmin alikuwa kimya kwa muda, licha ya hofu yake Beatrice aliuvuta mwili baada ya kupigwa bila huruma na Bosi huyo katili.
“Waliponiomba nimvute Sharmin nilimvuta na mara moja nikiwa chooni nilifungiwa naye, alikuwa ni binti mdogo tu hana hata mtoto. nilikaa hapo kwa muda wa siku tatu na mwili huo hadi ukaanza kupata harufu, kwa kweli, nilikuwa nikinywa maji ya chooni, na sikuweza hata kulala, na hadi sasa, nina picha hiyo akilini,” alisimulia Beatrice.
Baada ya Siku tatu Bosi wake ambaye siku hizo hakuwepo nyumbani na Familia yake, alifika kwa ajili yake na kumpa masharti Magumu kabla ya kuachiwa huru, jambo embalo alikubali kwa usalama wake.
Chanzo: BONGO 5
Waarabu by nature ni watu katili Sana no matter mwanamke au mwanaume!Muislamu ndugu yake muislamu
Walisikika walevi wa dini wakisema.
Whites wote mtu mweusi kwao ni kama nzi tu,
Tukiwapanga nani anaongoza kwa ukatili kwa mweusi itakuwa hivi.
1: Mwarabu
2: Muhindi
3:Mchina
4: mzungu
5: whites wengineo.
Ila hapo kwenye 2 na 3 inaweza tatu ikawa mbili au mbili ikawa tatu.
Blacks tuache Shobo na hao watu
Halafu bado mnakwenda tu?Hawa jamaa ni makatili sana
Wasiende huko walime ndizi na maparachichi inatosha.Wanafanyiwa sana ukatili, waarabu wana ukatili mno, sijui huko kwenye dini wanajifunza nini.
1.MuarabuMuislamu ndugu yake muislamu
Walisikika walevi wa dini wakisema.
Whites wote mtu mweusi kwao ni kama nzi tu,
Tukiwapanga nani anaongoza kwa ukatili kwa mweusi itakuwa hivi.
1: Mwarabu
2: Muhindi
3:Mchina
4: mzungu
5: whites wengineo.
Ila hapo kwenye 2 na 3 inaweza tatu ikawa mbili au mbili ikawa tatu.
Blacks tuache Shobo na hao watu
🚮🚮🚮MWARABU AMERITHI UKATILI KWA MUNGU WAKE ALAH.ALAH +MWARABU =UKATILI.kumwokoa mwarabu na ukatili nikwanza mwondoe alah.
HawasikiiWasiende huko walime ndizi na maparachichi inatosha.
MNAAMBIWA HAYA MATAIFA YA KIARABU NI UNCIVILIZED MNAKIMBILIA KUFANYA KAZI HUKO.![]()
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa akifanya kazi alimkuta mfanyakazi mwengine aitwaye Sharmin ambaye Bosi wake alidaiwa kumuua.
“Bosi wangu alikuwa ananifungia muda wowote anatoka nyumbani, nilikuwa nafanya kazi na mwanadada mwingine nikimuuguza mtoto wa bosi wangu, siku moja nilisikia sauti, baadaye nilisikia mtoto akilia, nikamuita mwenzangu, lakini hakujibu kisha akanijibu huku akiogopa na kuniambia atakufa siku hiyo kisha nikasikia mlango ukigongwa kwa nguvu na sikumsikia tena yule binti,” alikumbuka vyema”
Beatrice alisema mlango wake ulifunguliwa ghafla, na kumuona mtoto akivuja damu, huku mfanyakazi mwenzake (Sharmin) akiwa amelala chini.
“Bosi na Mkewe walitoa mtoto nje ya nyumba na wakaniambia mwili wa mwenzangu Sharmin niupeleke Chooni” alisema Beatrice.
“Haikuniingilia akilini kuwa Bosi anaweza kumfanyia Sharmin kitu kama kile, Sharmin alilala pale chini, nilianza kuwaza kwanini Sharmini haonekani anapumua na kwanini walikuwa wakiniita badala yake, nilijaribu kuita jina lake kwa sauti ya chinichini kwa sababu niliogopa kumchunguza mbele ya Bosi na Mkewe lakini niliogopa Beatrice anasema.
Beatrice alisita kuubeba mwili huo hadi chooni kwa sababu alihofia angeweza kuacha alama za Vidole vyake kwenye mwili wa Sharmin na nguo zake.
Beatrice aliogopa maana sauti ya kwanza aliyosikia ilikuwa ni Mlio wa Risasi kwani Sharmin alikuwa kimya kwa muda, licha ya hofu yake Beatrice aliuvuta mwili baada ya kupigwa bila huruma na Bosi huyo katili.
“Waliponiomba nimvute Sharmin nilimvuta na mara moja nikiwa chooni nilifungiwa naye, alikuwa ni binti mdogo tu hana hata mtoto. nilikaa hapo kwa muda wa siku tatu na mwili huo hadi ukaanza kupata harufu, kwa kweli, nilikuwa nikinywa maji ya chooni, na sikuweza hata kulala, na hadi sasa, nina picha hiyo akilini,” alisimulia Beatrice.
Baada ya Siku tatu Bosi wake ambaye siku hizo hakuwepo nyumbani na Familia yake, alifika kwa ajili yake na kumpa masharti Magumu kabla ya kuachiwa huru, jambo embalo alikubali kwa usalama wake.
Chanzo: BONGO 5
Jamii za kiarabu na kihindi ni jamii ambazo bado hazijastaarabika.Halafu bado hawa dada zetu hawakomi kwenda, hakuna watu wabaguzi chini ya jua kama waarabu na wahindi.