Afungiwa na Maiti Chooni Siku 3

Uko sahihi lakini masikini hawezi kumuwekea masharti tajiri
 
Arabuni wafanyakazi wa ndani warabu wanawafanya Kama watumwa,nakumbuka kuna nakala moja ya bbc inaelezea wafantakazi wanauziana kama watumwa Kuwait.
 
Wanafanyiwa sana ukatili, waarabu wana ukatili mno, sijui huko kwenye dini wanajifunza nini.
 
Subiri waje watetezi wa uchafu wa waarabu kisa uislamu brazaj
 
Shida iko kwenye akili za Waafrika, sijui kwanini serikali isizuie raia wake kwenda kufanya kazi za ndani katika Mataifa haya? Wakenya wanaongoza kwa kwenda huko na wanaongoza kwa kukumbwa na mabalaa pia na Waganda kwa hapa Afrika Mashariki. Lakini tufike hatua tupunguze tamaa zetu tukubali hali yetu jinsi ilivyo.
 
Wajinga ndio waliwao.
 
Waarabu by nature ni watu katili Sana no matter mwanamke au mwanaume!
 
1.Muarabu
2.Muarabu
3.Muarabu
 
Moja ya jamii katili zaidi duniani,

Kule kenya kuna makamouni ya mawakala, wanakwenda vijijini. wana danganya wasichana kwamba kuna kazi zenye malipo mazuri.
wakiishafika inchi za uarabuni waajili wao, wana kamata passport na nyaraka nyingine za kusafilia.
ni aina nyingije ya biashara ya binandamu/utumwa.
 
MNAAMBIWA HAYA MATAIFA YA KIARABU NI UNCIVILIZED MNAKIMBILIA KUFANYA KAZI HUKO.
AYAA HAENI NENDENII.
BONGO TU HAPA WATU WANATESWA NA MABOSS WA KIARABU/KIHINDI,SEMBUSE HUKO KWAO KABISA!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…