Afungiwa na Maiti Chooni Siku 3

Waarab
u wana roho mbaya sana!!
 
😹😹😹 una hoja usikilizwe
 
Tatizo linaanza kwa Muafrika kujiita mtu mweusi, kama wewe hapo. Wewe sio mtu mweusi wala Black, wewe ni Muafrika kutoka Africa Mashariki, Tanzania. Kama vile mchina asivyojiita "Njano" au "Yellow" anajiita tu mchina "Chinese." Watu weusi ni Wamarekani Weusi. Sababu wale hawana kwao tena na ambako wanapaita kwao kuna mchanganyiko wa Europeans. Ambao wana rangi nyeupe. Hivyo ili kujitofautisha, hawana budi bali kujiita wamarekani weusi. Black Americans. Na wale European Americans kujiita White Americans. Je ushawahi kuona Mrusi anajiita White? No. Kwanini hawajiiti White na wakati wao ni weupe? Jibu ni sababu wana kwao. Wenyewe wanaita "Mother Russia."

Sababu binadamu hawezi tambulika kwa rangi yake. Binadamu kutambulika kwa rangi ni kumshusha thamani, hadhi na utu. It's dehumanizing na diminishing. Ni kama mnyama asiye na mbele wala nyuma, mwanzo wala mwisho. Ni kiumbe cha ajabu kisicho na kwao na kisichostahili heshima. You're a nobody.
"Mimi ni Black!" Wewe ni Black? Black what? Black bottle? Black color? Black animal? What exactly is black?

Ukiondoa hilo. Waafrica sio watu weusi na hawawezi kuwa watu weusi. Mimi ni Muafrika na sio mweusi. Rangi yangu ni maji ya kunde, Pale Brown. Sasa nitajiitaje mweusi? Wale weupe kabisa nao watajiitaje? Hivyo hakuna Muafrika mweusi, bali kuna Waafrica tu. Wenye rangi tofauti. Nyeusi ni mojawapo.

Na kibaya zaidi, Mwafrika kujiita Black sio kitu kizuri sababu tayari utakuwa victim wa mambo yasiyokuhusu. Sababu Black ni Wamarekani na wewe sio Mmarekani. Wale jamaa ukiondoa kufanana rangi, nyie ni watu wawili tofauti. Hamfanani hata kidogo. Cha ajabu zaidi kinachoprove point yangu. Hata Hao Black Americans wanabaguana kama mtu sio... wanasema "Not Black Enough!" Yaani ukiwa mweupe kidogo tu wanakutenga. Au wanakuita whiteboy. Hivyo nitashangaa zaidi nikiona wewe Muafrika unajiita Black alafu ni mweupe kama Obama. And yes, unajua kwanini Obama alipita uchaguzi Marekani? Sababu he didn't sound Black nor looked like one. Sababu Black Americans wanaojulikana kwa sifa mbaya. Victim mindset, aggressive, law breakers, criminals, unintelligent, unsophisticated with hood culture and drug addictions. Vilevile kizazi cha watumwa.

Hata ukienda Marekani leo, ukijiita Mwafrika na ukiwa na accent ya kwenu, tayari kila mtu anakuchulia tofauti, Utachukuliwa kama mgeni wa kawaida kutoka nje mwenye muonekano tofauti, as of Asians au Indians na utapewa heshima unayostahili. Badala ya watu kukuita "That Black Guy." watakuita "That African Man."

Hakuna mtu anayeheshimika kama mwenye kwao. Sababu tayari anaheshimu kwao. Hivyo ukitaka uheshimike popote pale. Basi kuwa na kwenu na jitambulishe kikwenu.

Na kuongezea hapo, kiuhalisia akili za binadamu zote ziko sawa na wanafikiria vitu vilevile vinavyofanana. Kinachotufautisha ni kujitambua na jinsi ya kutumia hizo akili. Hakuna mtu atakubagua kama una akili, unajitambua na kujiheshimu. Isipokuwa atakuogopa na kukuheshimu, sababu wabaguzi wote hawana akili. That's a fact.
 
Maarabu ni mashetwani pure
Vijakazi wao wavaa kubazi wanavyowahusudu Sasa utashangaa
 
Uhusiano kati ya Mwafrika na mzungu au Mwafrika na Mchina ni Bora kuliko uhusiano wa Mwafrika na hawa kenge wa kiislamu
Hata wajapan, wachina na wakorea walikuwa wanadharaulika na kupuuziwa na dunia. Au tuseme wazungu. Walipoona huo ni ufala, wakabadirika na leo wanaheshimika popote pale duniani.

Waafrica siku wakipata akili na kujitambua kisha kuondoa umasikini ndio wataheshimika kiujumla hapa duniani.
 
Maneno kibao, hata hueleweki
 
Hao hao waarabu ndiyo hao wanaopewa rasilimali za nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…