Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulipotea humu mkuu?Kitendo cha kumuingilia mtoto mdogo bila ridhaa yake tena kinyume na maumbile, ilipaswaa apewe adhabu kulingana na kosa lake.
Poleee zao kwa Wahanga.
Jomoneee mbna nipoo eti.Ulipotea humu mkuu?
ina maana wewe kwa umri huo huwezi kuandika neno mbwa
Kwa hiyo alitakiwa afungwe maisha, kutokana na kuongozo huu.Bongo , chini ya 10yrs ni life sent. View attachment 2799094
Hii jamii ina shida sana aisee. Kijana wa miaka 35 unaenda kufungwa kwa miaka yote hiyo kwa sababu ya ujinga wa kuendekeza hisia za ngono.Mahakama ya Mkoa wa Vuga, leo tarehe 31/10/2023 imemhukumu mshtakiwa MOH'D ALI HASSAN (35) Mkazi wa Jumbi Uwandani Unguja kutumikia kifungo cha miaka 30 Chuo cha Mafunzo (jela) kwa kosa la Kuingilia kinyume na maumbile.
Awali mshtakiwa huyo alimuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 06 jambo ambalo ni kosa, kinyume na kifungu cha sheria 133 (a) cha sheria ya adhabu namba 6/2018 Sheria ya Zanzibar.
Akisoma maelezo ya hukumu hiyo, Hakimu wa mahakama hiyo Mhe. TAKI ABDALLAH amesema Mahakama imejiridhisha na ushahidi uliotolewa mbele ya mahakama ambao haukuwa na chembe ya shaka ambapo umemtia hatiani mtuhumiwa kwa makosa hayo.
Jumla ya mashahidi watano (05) walitoa ushahidi mahakamani hapo.
Kesi hiyo ilifunguliwa Mahakamani tarehe 21/08/2023 ambapo ilipewa kesi namba 127/2023.
Ndio ninaposhangaa, kwanini mafisadi hawapati hizi adhabuHalafu mwizi wa shilingi trilioni tano mali ya umma anapandishwa cheo na kuitwa mheshimiwa
Si yule mwizi!Nani
Kwa umri huo hawezi kusahau kweli?Inauma sana, mtoto wa miaka SITA. Amaeshamuua tayari kisaikolojia hata kuwa sawa
alikuwa amekata tamaa ya maishaHii jamii ina shida sana aisee. Kijana wa miaka 35 unaenda kufungwa kwa miaka yote hiyo kwa sababu ya ujinga wa kuendekeza hisia za ngono.
Kwa wakati huu ambao maisha yake yanamsubiri ayapambanie, yeye anaenda kufanya ujinga kwa mtoto wa watu na kumharibia historia yake.
Mjinga kabisa huyu jamaa, kiukweli hakupaswa kuishi hata huko jela anakokwenda kuwekwa kwa miaka 30.
Ova
Kama ni hko hao jamaa kesi zao nyingi za kubambikiana nashangaa wanashinda msikitini 24/7 inasikitisha sana.Mahakama ya Mkoa wa Vuga, leo tarehe 31/10/2023 imemhukumu mshtakiwa MOH'D ALI HASSAN (35) Mkazi wa Jumbi Uwandani Unguja kutumikia kifungo cha miaka 30 Chuo cha Mafunzo (jela) kwa kosa la Kuingilia kinyume na maumbile.
Awali mshtakiwa huyo alimuingilia kinyume na maumbile mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 06 jambo ambalo ni kosa, kinyume na kifungu cha sheria 133 (a) cha sheria ya adhabu namba 6/2018 Sheria ya Zanzibar.
Akisoma maelezo ya hukumu hiyo, Hakimu wa mahakama hiyo Mhe. TAKI ABDALLAH amesema Mahakama imejiridhisha na ushahidi uliotolewa mbele ya mahakama ambao haukuwa na chembe ya shaka ambapo umemtia hatiani mtuhumiwa kwa makosa hayo.
Jumla ya mashahidi watano (05) walitoa ushahidi mahakamani hapo.
Kesi hiyo ilifunguliwa Mahakamani tarehe 21/08/2023 ambapo ilipewa kesi namba 127/2023.
Uongo nini?Uongoo mtupuu.