Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Wandishi wa siku hizi ovyo sana. Mtu hujui kama ugali ni dona au sembe. Kama ni ndizi, ziliminywa?Muwege mnatoa habari iliyo kamilika amehukumiwa kwa kula kitimoto ya aina gani ? Roast au kavu? Alikula na ugali au ndizi?