Afungwa miaka miwili kwa kutamka "Bismilallahi" huku akila nyama ya nguruwe

Watu waliokufuru kila kukicha huwa wanawaza kuchokoza waislam

Mkae mtafakari sana, huyo muarabu aliwaingiza mkenge na kuwapiganisha na dunia, mara mjilipue mabomu mara mchinje watu vichwa, mara mkamate mtu na kumfunga jela kisa kala chakula mlichokatazwa na huyo muarabu.
 
Nataka nianze kufuga hutu tusamaki ivi kwa mwanza vipapi navipata wapi na ni bei ghan
 
Kumbe Indonesia ni taifa lenye waislamu wengi zaidi duniani.
 
Naenda kufungwa kwa niaba yake,yaani kula mbuzi katoliki ndio iwe nongwa..!!
Waache ukhanithi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…