Afya ya akili ya "Diva" wa Wasafi ipo mashakani

Hivi wakuu afya ya akili ya diva mnaiona ipo sawa kweli?

Ana utoto mwingi sana ,juzi kati watu wamemzodoa aliyekuwa mume wake kapata chombo kipya na ni mrembo haswa, eti Diva naye kaona wivu aka download picha ya mkaka mtanashati akaposti kwamba ndo mpenzi wake kwa sasa hivyo hatishiki wala hateseki na ex wake

Kama hiyo haitoshi eti akawa anaturingishia kiasi cha pesa alichonacho kwenye account yake, pesa yenyewe milioni 23 ndo anavimbia nayo mjini

Ukianza kulisifia ujinga kwamba yeye ni mzuri bongo nzima hakuna kama yeye linaingia kwenye mfumo mzima mzima.

Nina wasiwasi maisha yake ya utotoni alikuwa mpenda katuni sana , maana maisha yake na katuni havina tofauti.

Anaishi ndotoni sana ,,mara aote ana date na mzungu ,kichwa kikivurugika ana download picha anapost insta anatutangazia ndio shemeji yetu

Awahiwe huyu kabla mambo hayajaharibika.
Hata sina cha kuchangia simjui wala hanijui..
Mtajuana wenyewe huko daslamu
 
CHAI
 
Halafu wewe bado unamfuatilia tu!
 
Kimfaacho mtu chake,
 
Back
Top Bottom