Afya ya Ferouz yaendelea kudorora

Feruzi alikuwa msanii mzuri sana miaka ya mwanzoni mwa 2,000 pamoja na kundi lake la daz nundaz.Ukifanya kolabo nae nyimbo lazma itahit aliutendea haki mziki wa bongofleva
 
Mbona teja zamani sana huyo. Nilimuona pale Wanyama hotel sinza mwaka jana, yani teja mbaya.
 
Ama kweli mbio za sakafuni.....................
 
Daaah, haya bhana, ila kusema ule ukweli tunapoelekea ni kuona ndugu jamaa na marafiki wakipinga vijana wao kuingia kwnye tasnia ya muzik kama ilivokuwa mwanzon mwa miaka ya elfu mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…