Afya ya Ferouz yaendelea kudorora

Afya ya Ferouz yaendelea kudorora

Du,kweli daz baba nshakua mtu Mzimaaa miii,naitaji mwandani wakuishi namiiii!! Poda noma sana
Classmate wang....dah yaaani inatia huruma!tulishakusanyika watu kama 5 lengo kumsaidia mshikaji!seriously ikatushinda sababu daily anatoroka tukienda kaziin tukirudi anakuwa arosto!tukampeleka Kiluvya tumfungie apate kila kitu Sista ake akatupeleka Polisi eti Kama yake ametekwa....kuanzia hapo tukasema potelea mbalii!hapo ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 2012
 
Msimuache, inabidi muendelee na harakati za kumsaidia. Inawezekana, jaribuni tena na mwaka huu
 
Classmate wang....dah yaaani inatia huruma!tulishakusanyika watu kama 5 lengo kumsaidia mshikaji!seriously ikatushinda sababu daily anatoroka tukienda kaziin tukirudi anakuwa arosto!tukampeleka Kiluvya tumfungie apate kila kitu Sista ake akatupeleka Polisi eti Kama yake ametekwa....kuanzia hapo tukasema potelea mbalii!hapo ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 2012
Ulikuwa jite sio? Enzi hizo na kajala?
 
Durtete akiwaua wauza Dawa Obama anatoa povu...hawa ni kuwamaliza moja kwa moja
yule rais kavurugwa hasa,kaona yeye kabakiza umri mchache wa kuishi so hana cha kupoteza,yaani hata ukihisiwa tu unafanana na drug dealer unakula shaba,hakuna cha kesi wala nini,aliwambia ISIS wakienda filipino atawaua na kutafuna nyama zao mbichi
 
Alipata nafasi walishindwa zitumia Kama pesa walipata.....kimtindo tena kuliko hata bizi wa shirika la UMMA au mjasiriamali Kama mimi

Ova
 
Twenzetu Twenzetu tukapige ulabu tushikua bwax Twenzetu club, Twende tukasake wachumba.....
 
Leo nilikuwa nasikiliza redio asubui (nadhani BBC) wakawa wanaongelea sober houses Tanzania wanahoji walioanzisha hiyo makitu...
Nikafikiria sana nikaona hili tatizo la unga wangejaribu njia nyingine...
Maana wengi wa walioingia humo (kwenye unga) hawatoki...wataenda sober house baada ya miaka wanarudia kutumia...eti mmoja akasema tatizo mazingira...
mtu anaacha afu anarudi alikotoka na kukutana na mateja ni raisi kurudia...
Mi naona sio isuue pia..sasa mtu ataenda kusihi wapi? Ilala meteja wapo, posta wapo, mbagala wapo...

DAWA ni kuwakinga wale ambao hawajaanza...
Itolewe elimu endelevu mashuleni kuanzia shule za msingi kuhusu madhara ya haya madawa...ukiingia hakuna njia ya kutokea...ingekuwepo kina Whitney wasingekufa...Hizo NGOs zinge focus kwa vijana ambao bado hawajalambishwa hayo makitu...hao walokwisha lamba ni kupoteza ela tu (si kuwa siwahurumii...ila hiyo ndio fact)
Haya tuma salamu kwa watu 3 tafadhali
 
Stress and Frustration with losing fame.
 
Classmate wang....dah yaaani inatia huruma!tulishakusanyika watu kama 5 lengo kumsaidia mshikaji!seriously ikatushinda sababu daily anatoroka tukienda kaziin tukirudi anakuwa arosto!tukampeleka Kiluvya tumfungie apate kila kitu Sista ake akatupeleka Polisi eti Kama yake ametekwa....kuanzia hapo tukasema potelea mbalii!hapo ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 2012

Big up mkuu,kwa kuonyesha moyo wa kumsaidia huyu jamaa!
 
Karma is a bus driver, don't curse him. Huyu mjomba alimtenga Daz Mwalim kwasababu Ni teja na hii ikazusha drama pale Daz Nundaz. Alikuwa manipulative Sana huyu kuwaambia washkaji wasimpe hata kampani David Nyika kwenye show zake. Leo kiko wapi?
 
Back
Top Bottom