Afya ya Ferouz yaendelea kudorora

Afya ya Ferouz yaendelea kudorora

Unakumbuka hit single ya starehe? Ni nyimbo ya feruz aliomshirikisha proj jay , ni nyimbo iliyoelezea mafunzo mengi kwa vijana kuhusu starehe na maambukizi ya ukimwi
Feruz leo hii afya yake inaendelea kutia shaka kutoka na kudhoofika
Tetesi za mtaani zinasema anajihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya japo mwenyewe anapingaView attachment 402105
Bhangi sawa,madawa km cocaine hmm,sidhani
 
Ha ha ha. . poda haiongopi bhana. . c alihojiwaga itv miez miwili iliyopita akadai katoka mgodin huko kanunua na prado na akatoa single mpya. .
 
Tumuombee jamani hasa huyo daz baba anahitaji massive deliverance.
 
Yoyote a naweza akapata ngoma, sitakuja kuruhusu mwanangu awe maarufu
 
Tuache majungu.. Hayo ndio maisha aliyochagua.. Anagapenda.. We have nothing to get from him.. Mwacheni aendelee.
 
Kwetu Pwani tunasema: KILICHOMPATA MAMBA NA BOKO KITAMPATA
 
Dah. ila huyu jamaa Mungu alimjalia sauti ya kuimba.
 
Back
Top Bottom