Classmate wang....dah yaaani inatia huruma!tulishakusanyika watu kama 5 lengo kumsaidia mshikaji!seriously ikatushinda sababu daily anatoroka tukienda kaziin tukirudi anakuwa arosto!tukampeleka Kiluvya tumfungie apate kila kitu Sista ake akatupeleka Polisi eti Kama yake ametekwa....kuanzia hapo tukasema potelea mbalii!hapo ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 2012Du,kweli daz baba nshakua mtu Mzimaaa miii,naitaji mwandani wakuishi namiiii!! Poda noma sana
Msimuache, inabidi muendelee na harakati za kumsaidia. Inawezekana, jaribuni tena na mwaka huuClassmate wang....dah yaaani inatia huruma!tulishakusanyika watu kama 5 lengo kumsaidia mshikaji!seriously ikatushinda sababu daily anatoroka tukienda kaziin tukirudi anakuwa arosto!tukampeleka Kiluvya tumfungie apate kila kitu Sista ake akatupeleka Polisi eti Kama yake ametekwa....kuanzia hapo tukasema potelea mbalii!hapo ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 2012
Ulikuwa jite sio? Enzi hizo na kajala?Classmate wang....dah yaaani inatia huruma!tulishakusanyika watu kama 5 lengo kumsaidia mshikaji!seriously ikatushinda sababu daily anatoroka tukienda kaziin tukirudi anakuwa arosto!tukampeleka Kiluvya tumfungie apate kila kitu Sista ake akatupeleka Polisi eti Kama yake ametekwa....kuanzia hapo tukasema potelea mbalii!hapo ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 2012
yule rais kavurugwa hasa,kaona yeye kabakiza umri mchache wa kuishi so hana cha kupoteza,yaani hata ukihisiwa tu unafanana na drug dealer unakula shaba,hakuna cha kesi wala nini,aliwambia ISIS wakienda filipino atawaua na kutafuna nyama zao mbichiDurtete akiwaua wauza Dawa Obama anatoa povu...hawa ni kuwamaliza moja kwa moja
ina maana ukiambiwa upige picha na kagame au Mo utakataa?Ningekuwa mimi ndio huyo dada hiyo picha nisingepiga,kujichoresha tu[emoji13].
Haya tuma salamu kwa watu 3 tafadhaliLeo nilikuwa nasikiliza redio asubui (nadhani BBC) wakawa wanaongelea sober houses Tanzania wanahoji walioanzisha hiyo makitu...
Nikafikiria sana nikaona hili tatizo la unga wangejaribu njia nyingine...
Maana wengi wa walioingia humo (kwenye unga) hawatoki...wataenda sober house baada ya miaka wanarudia kutumia...eti mmoja akasema tatizo mazingira...
mtu anaacha afu anarudi alikotoka na kukutana na mateja ni raisi kurudia...
Mi naona sio isuue pia..sasa mtu ataenda kusihi wapi? Ilala meteja wapo, posta wapo, mbagala wapo...
DAWA ni kuwakinga wale ambao hawajaanza...
Itolewe elimu endelevu mashuleni kuanzia shule za msingi kuhusu madhara ya haya madawa...ukiingia hakuna njia ya kutokea...ingekuwepo kina Whitney wasingekufa...Hizo NGOs zinge focus kwa vijana ambao bado hawajalambishwa hayo makitu...hao walokwisha lamba ni kupoteza ela tu (si kuwa siwahurumii...ila hiyo ndio fact)
Classmate wang....dah yaaani inatia huruma!tulishakusanyika watu kama 5 lengo kumsaidia mshikaji!seriously ikatushinda sababu daily anatoroka tukienda kaziin tukirudi anakuwa arosto!tukampeleka Kiluvya tumfungie apate kila kitu Sista ake akatupeleka Polisi eti Kama yake ametekwa....kuanzia hapo tukasema potelea mbalii!hapo ilikuwa mwanzoni mwa mwaka 2012