Afya ya meno: Wenye meno meupe yanayong'ara mnafanyaje jamani tupeane maujanja, nina hali mbaya


Pole sana mkuu,kuna maeneo maji wanayotumia yana madini yanayaounguza meno,

Ngoja wataalamu waliosomea kinywa na meno miaka 5 waje kutoa muongozo.
 
Meno unayasafisha kwa utulivu.

Utumie muda mrefu kuosha meno.

Let's say asubuhi,
weka dawa kwa mswaki, pitisha kwanza maji mdomoni, sukutua kidogo kisha tema,

Ile dawa kwenye mswaki, weka maji kidogo.

Anza kusukutua meno, hakikisha hadi ndani meno umesukutua, kwa utulivu chukua muda mrefu kidogo .

Mwisho pitisha mswaki kwenye ulimi, yaani vuta ulimi nje kisha pitisha mswaki.

Fanya hivyo asubuhi na wakati wa kulala

NB unaweza enda hapo Regency hospital kuosha meno pia, bima inakubalika
 
Siku hizi madaktari wa kusafirisha meno wapo kila mahali ni wewe tu kusema unataka nini.
 
Regency gharama zao ni moto wa kuotea mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ