Afya ya meno: Wenye meno meupe yanayong'ara mnafanyaje jamani tupeane maujanja, nina hali mbaya

Afya ya meno: Wenye meno meupe yanayong'ara mnafanyaje jamani tupeane maujanja, nina hali mbaya

Kuna vitu wenzetu mnatumia au ndo inatokea tu kama mambo mengine yanavyotokea kwa ntu kwa ntu?

Napiga mswaki kama kawaida kwa hizi dawa za kawaida kolgate, whitedent...lakini naona nakoelekea meno yanaelekea kuwa kama mvuta ugoro🙄na wkt situmii uo ugoro.
Chukua baking soda changanya na limao utumie kupigia mswaki kila siku kabla ya kulala ama tumia unga wa mkaa usukutue meno kwa mswaki.
 
Wamasai Wana meno meupe sana pamoja na kula sana ugoro.... ukipata dawa zao zile za asili zile za kijijini achana na hizi za hawa waliokuja mjini
Nadhani ni nzuri zaidi
 
Kuna vitu wenzetu mnatumia au ndo inatokea tu kama mambo mengine yanavyotokea kwa ntu kwa ntu?

Napiga mswaki kama kawaida kwa hizi dawa za kawaida kolgate, whitedent...lakini naona nakoelekea meno yanaelekea kuwa kama mvuta ugoro[emoji849]na wkt situmii uo ugoro.
Chukua formula hii utanishukuru
5f5dff3e-479a-468d-ba9a-a8d32483a21c.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Meno unayasafisha kwa utulivu.

Utumie muda mrefu kuosha meno.

Let's say asubuhi,
weka dawa kwa mswaki, pitisha kwanza maji mdomoni, sukutua kidogo kisha tema,

Ile dawa kwenye mswaki, weka maji kidogo.

Anza kusukutua meno, hakikisha hadi ndani meno umesukutua, kwa utulivu chukua muda mrefu kidogo .

Mwisho pitisha mswaki kwenye ulimi, yaani vuta ulimi nje kisha pitisha mswaki.

Fanya hivyo asubuhi na wakati wa kulala

NB unaweza enda hapo Regency hospital kuosha meno pia, bima inakubalika
Kuosha meno regency ni sh ngapi
 
Kuna vitu wenzetu mnatumia au ndo inatokea tu kama mambo mengine yanavyotokea kwa ntu kwa ntu?

Napiga mswaki kama kawaida kwa hizi dawa za kawaida kolgate, whitedent...lakini naona nakoelekea meno yanaelekea kuwa kama mvuta ugoro🙄na wkt situmii uo ugoro.
Picha tafadhali
 
Yaan hapo utakuta una felii kwenye mambo yafuatayo!
1. Umswaki unaotumia sio imara (haubrashi vizuri
2. Dawa unayo tumia
3. Mazingira uliopo maji ya hilo eneo .
Chunguza kwanza ivo vitu afu uje utuambie tena
 
Back
Top Bottom