Afya ya meno: Wenye meno meupe yanayong'ara mnafanyaje jamani tupeane maujanja, nina hali mbaya

Chukua baking soda changanya na limao utumie kupigia mswaki kila siku kabla ya kulala ama tumia unga wa mkaa usukutue meno kwa mswaki.
 
Wamasai Wana meno meupe sana pamoja na kula sana ugoro.... ukipata dawa zao zile za asili zile za kijijini achana na hizi za hawa waliokuja mjini
Nadhani ni nzuri zaidi
 
Chukua formula hii utanishukuru


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuosha meno regency ni sh ngapi
 
Picha tafadhali
 
Yaan hapo utakuta una felii kwenye mambo yafuatayo!
1. Umswaki unaotumia sio imara (haubrashi vizuri
2. Dawa unayo tumia
3. Mazingira uliopo maji ya hilo eneo .
Chunguza kwanza ivo vitu afu uje utuambie tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…