grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Ukitia maji kwenye dawa ya meno basi unaipunguza nguvu yake ya usafishajiMeno unayasafisha kwa utulivu.
Utumie muda mrefu kuosha meno.
Let's say asubuhi,
weka dawa kwa mswaki, pitisha kwanza maji mdomoni, sukutua kidogo kisha tema,
Ile dawa kwenye mswaki, weka maji kidogo.
Anza kusukutua meno, hakikisha hadi ndani meno umesukutua, kwa utulivu chukua muda mrefu kidogo .
Mwisho pitisha mswaki kwenye ulimi, yaani vuta ulimi nje kisha pitisha mswaki.
Fanya hivyo asubuhi na wakati wa kulala
NB unaweza enda hapo Regency hospital kuosha meno pia, bima inakubalika
Maji ya arusha na mkoa wa kilimanjaro yana kiwango kikubwa sana cha fluoride per mililiters kitu kinachosababisha tatizo lijulikanalo kama dental fluorosis ndo kule meno yanakuwa kama yameungua .Kuna utaalamu wa kuyang'arisha mfano Arusha kuna clinic nyingi za kung'arisha meno.
Wahi hospitali mkuu inaweza kuwa ni shida zaidi ya moja na mara nyingi zinapelekea meno kulegea na kuchomokaNa je wale wenye tatizo la kutokwa damu upande mmoja wa fizi wakati wa kuswaki inakuwaje tiba zao?
Sijui Kwa hyo ya kuosha meno, ila binafsi nlipata shida kidogo nlipelekwa pale saa Tisa natoka saa 12 bill inasoma 600k++An ngapi
hii unamaanisha ile inayotumika kuumulia unga wa ngano au?Tumia baking soda ( powder) kupiga mswaki angalau mara 3 kwa wiki
daah hii inawezekana kweli?ama tumia unga wa mkaa usukutue meno kwa mswaki
💯daah hii inawezekana kweli?
Matunda mbalimbali hasa mananasiNa wale ambao wakikojoa mikojo yao inanukia harufu nzuri,wao hula nini?
mmh🤔?Na wale ambao wakikojoa mikojo yao inanukia harufu nzuri,wao hula nini?
Bei zao sasa!Siku hizi madaktari wa kusafirisha meno wapo kila mahali ni wewe tu kusema unataka nini.
Mchanganyiko wa baking soda na ndimu/limao ni hatari na utumiaji wa mara Kwa mara ni hatari zaidi Kwa afya ya meno.Tumia banking powder na ndimu,,, au tumia majivu Mzee wangu Kila baada ya mlo utakuja kushukuru achana na madawa ya kolgate sijui majitu ni gan