Afya ya papa Francs inaendelea kuwa mbaya

Afya ya papa Francs inaendelea kuwa mbaya

Binadamu ikifika hapa woote tunafanana. No control.
 
Mtetezi wa mashoga utakatifu anautoa wapi?
 
Mtetezi wa mashoga utakatifu anautoa wapi?
Yesu Kristo alikuja kwa ajili ya wenye dhambi.Kanisa huwa linawaalika watu wote watubu dhambi zao wapate kuurithi ufalme wa mbinguni.Kanisa huwa haliwabagui watu kwa dhambi zao eti kwamba shoga ana dhambi kubwa kuliko mwizi au muongo,mambo huwa hayaendi hivyo kama unavyodhani wewe kwa akili yako ndogo.

Kama wewe unajiona hauna dhambi basi Yesu Kristo hakuhusu, acha wenye dhambi waokolewe.
 
Mtetezi wa mashoga utakatifu anautoa wapi?
Acha kuwa mwehu mkuu, Yesu alipomtetea yule mwanamke Kahaba asipigwe mawe alikuwa anatetea umalaya? Yeye Papa alisema wasitengwe kama sehemu ya kuvumiliana kwenye jamii zetu. Hakuna aliyemsafi kwenye jamii zetu isipokuwa tunapaswa kuishi kwa huruma na kusameheana.

Note:
 
Una akili mkuu
 
vipimo vingine vya damu vinaonyesha kushindwa kidogo kwa figo, ambayo inadhibitiwa.
Papa ndio anakufa hivi hana Figo hana mapafu hana kongosho hana ini sasa itakuaje gambe mimoshi noma ila gambe visungura Mungu ampumzishe mahali pepa, amiiin
 
1740363060536.png
May our almighty God continue to bless him.
 
Mara nyingi viongozi wakubwa wakitangaziwa hivyo, ujue kwamba hali inakuwa ni tayari au karibu na tayari kwa hiyo waungwana wanazuga na kutafuta upenyo muafaka wa kuitangazia dunia
 
Back
Top Bottom