Watu mashuhuri huwa wanakutana kwa ajili ya mkutano wa World Economic Forum huko Davos hii hupelekea kushahimiri kwa biashara nyingine zinazozunguka mji huo ikiwemo ya ukahaba.
Huwa wanakutana kuzungumzia kupatia suluhisho la maswala yanayoikumba dunia ikiwemo umasikini.
Naona wana deal kweli na umasikini kwa ku-boost ajira za watoto wakali ππππ