Agent from Turkey To Tanzania

Agent from Turkey To Tanzania

Nimekutumia contactz mbili inbox check na hao watu wanaweza kukutatulia shida yako
 
Kuna jamaa anaishi huko Uturuki ni mbongo anaweza kukusaidia anaitwa mzizi mkavu , ila yeye ana deal na kusafirishia dawa from Turkey to Tànzania atakuwa na ufahamu zaidi Yuko huku JF
 
Back
Top Bottom