Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Agrey Mwanri amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro.
===
Aggrey Deaisile Joshua Mwanri amezaliwa Julai 17, 1955 alikuwa mbunge wa Siha tangu mwaka 2000, mwaka 2015 aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na amestaafu nafasi hiyo mwezi Julai 2020,
Aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Nchi, TAMISEMI