Uchaguzi 2020 Aggrey Deaisile Joshua Mwanri achukua fomu ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Siha

Uchaguzi 2020 Aggrey Deaisile Joshua Mwanri achukua fomu ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Siha

Unaweza kustaafu utumishi wowote ule kutokana na umri lakini bado kwenye ubunge ukarudia ujana wako ! Hii ndio Tanzania Yetu

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri amechukua fomu ya kugombea Ubung ( 480 X 640 ).jpg
 
Ngoma inogile.

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro.
Jimbo hilo linashikiliwa na Dr Mollel aliyewahi kuwa Chadema ya pale Ufipa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ndo waziri wa mambo ya ndani ajaye.

Mission ndani ya mission
Uchaguzi ndani ya uchaguzi

Tunasubili wakati tu kazi ishaisha zamani
 
Kwanini Mwanri anaruhusiwa kugombea? si kumwonea anayegombea nae! nilidhan akitaka ubunge ni suala la aingie tu bungen
 
Back
Top Bottom