Uchaguzi 2020 Aggrey Deaisile Joshua Mwanri achukua fomu ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Siha

Uchaguzi 2020 Aggrey Deaisile Joshua Mwanri achukua fomu ya CCM kugombea Ubunge Jimbo la Siha

Ndani ya CCM... sura mpya ni GWAJIMA & FRED LOWASA... Wengi ni sura zilezile toka uhuru
 
Wale waliounga mkono Juhudi si ndio watakuwa wagombea wa CCM? au Mm naona Mollel bado ana Nafasi ya Kuwa Mgombea wa CCM kuliko Mzee wa Toronto kwa hilo Jimbo la Siha.
 
Wale waliounga mkono Juhudi c ndio watakuwa wagombea wa CCM? au Mm naona Mollel bado ana Nafasi ya Kuwa Mgombea wa CCM kuliko Mzee wa Toronto kwa hilo Jimbo la Siha.
Hao Waliounga Mkono Njia Nyeupe, Hawa Ccm Asili Watasubiri Kidogo
 
Mungu mwenyewe anamshukuru Magufuli kwa uchapakazi wake-Agrey Mwanri.
 
Kwaheri Mollel, Mwanri ana chukua jimbo saa nne asubuhi

Mollel usaliti hizo ndio faida zake. Ona Ccm walivyo na mikakati.

Kama wange kutaka Mwanri hata Tabora ange chukua fomu ange shinda ubunge. Jiandae kwenda kupapasa wagonjwa
Bahati nzuri uli nunuliwa kama ng'ombe mnadani.

Huidai kitu Ccm. Wanajua bei yako na kwamba sio mwamijifu.
 
Hatapata Huyo. Kule Yupo Mollel Lakini Rejea Kauli Ya
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kweli hapo kauli ya Magufuli inaweza mletea jamaa shida ila Mwanri kwa sasa anayo fan base nzuri sana kwahiyo kama ukisema agombee kwa haki yeye na Moleli basi Moleli lazima apote
 
Wananchi wa Siha watakuwa wapumbavu kuwapa ajira watu waliostaafu.

Huyu mzee toka Nyerere mpaka leo yupo serikalini anakula mafao kuanzia wizara moja hadi nyingine wakati kuna wana SIHA wengi wamehitimu na hawana ajira hata ya kwanza, mwanaume mzima na vuzi zake yupo nyumbani anagongea msosi na dada zake kisa hakuna ajira alafu uje umpe mtu ubunge kisa tu ni fulani, hapana.
 
Sasa mbona anakiuka maagizo ya viongozi wa chama chake kwamba kwenye majimbo yote ya wale waliounga mkono juhudi asijitokeze mwingine wa kugombea??!!
 
Na hisi hawa waliohamia CCM wanaweza wapigwe chini wote, lengo ilikuwa ni kupunguza makali ya Chadema. Ki ukweli haikuniingia akilini eti wanaccm damu wawekwe pembeni wachukuliwe waliohamia toka chadema. Mh naona anatengeneza team mpyaa kabisa. 20 to 25.
 
Wale waliounga mkono Juhudi c ndio watakuwa wagombea wa CCM? au Mm naona Mollel bado ana Nafasi ya Kuwa Mgombea wa CCM kuliko Mzee wa Toronto kwa hilo Jimbo la Siha.
Hapo sasa...
 
Kweli hapo kauli ya Magu inaweza mletea jama shida ila mwandri kwa sasa anayo fan base nzuri sana kwahiyo kama ukisema agombe kwa haki yeye na moleli basi moleli lazima apote
Viongozi Ninaowateua Waridhike Na Nafasi Ninazowapa
Hauwezi Kupata Kila Kitu.
Wa Kwanza Tukamtia Cross
Wa Pili Tukamtia Cross
Wa Tatu Tukamtia Cross
Wa Nne Tukampa!!!


😁😅😄😃🤣😀🙄
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Sasa mbona anakiuka maagizo ya viongozi wa chama chake kwamba kwenye majimbo yote ya wale waliounga juhudi asijitokeze mwingine wa kugombea??!!
Hiyo ilikuwa chaguzi za marudio sio huu uchaguzi mkuu. Wasaliti ni sawa na ng'ombe alie katwa mkia. Ndio mwisho wa Mollel kwenye siasa.
 
Back
Top Bottom