Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jul 14, 2020 #61 Unaweza kustaafu utumishi wowote ule kutokana na umri lakini bado kwenye ubunge ukarudia ujana wako ! Hii ndio Tanzania Yetu
Unaweza kustaafu utumishi wowote ule kutokana na umri lakini bado kwenye ubunge ukarudia ujana wako ! Hii ndio Tanzania Yetu
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Jul 14, 2020 #62 Yupo sahihi mzee wa Sukuma ndani
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Jul 14, 2020 #63 Ngoma inogile. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro. Jimbo hilo linashikiliwa na Dr Mollel aliyewahi kuwa Chadema ya pale Ufipa. Maendeleo hayana vyama!
Ngoma inogile. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amechukua fomu kugombea ubunge jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro. Jimbo hilo linashikiliwa na Dr Mollel aliyewahi kuwa Chadema ya pale Ufipa. Maendeleo hayana vyama!
zebedayo musibha Senior Member Joined Oct 26, 2019 Posts 111 Reaction score 86 Jul 14, 2020 #64 Ndo waziri wa mambo ya ndani ajaye. Mission ndani ya mission Uchaguzi ndani ya uchaguzi Tunasubili wakati tu kazi ishaisha zamani
Ndo waziri wa mambo ya ndani ajaye. Mission ndani ya mission Uchaguzi ndani ya uchaguzi Tunasubili wakati tu kazi ishaisha zamani
The Khoisan JF-Expert Member Joined Jun 5, 2007 Posts 16,434 Reaction score 14,547 Jul 14, 2020 #65 Gunst said: Upo sawa, Mwanri akishinda ubunge lazima atapewa uwaziri. Click to expand... Labda ya Wizara ya Utamaduni .....................!!
Gunst said: Upo sawa, Mwanri akishinda ubunge lazima atapewa uwaziri. Click to expand... Labda ya Wizara ya Utamaduni .....................!!
Lububi JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 2,158 Reaction score 3,808 Jul 14, 2020 #66 Kwanini Mwanri anaruhusiwa kugombea? si kumwonea anayegombea nae! nilidhan akitaka ubunge ni suala la aingie tu bungen
Kwanini Mwanri anaruhusiwa kugombea? si kumwonea anayegombea nae! nilidhan akitaka ubunge ni suala la aingie tu bungen
Mngurimi JF-Expert Member Joined May 27, 2020 Posts 819 Reaction score 790 Jul 14, 2020 #67 Suley2019 said: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Agrey Mwanri amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro. View attachment 1506540 Click to expand... Niliwaza hivi hata kabla hajachukua form na akipita natabiri atapewa wizara fulani hivi
Suley2019 said: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Agrey Mwanri amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro. View attachment 1506540 Click to expand... Niliwaza hivi hata kabla hajachukua form na akipita natabiri atapewa wizara fulani hivi